Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA


Mnyoosho unekuingiaaa
 
Mimi nimeuangalia zaidi ya mara 10jamaniiiiiiiii!!!!
Ghafla vicenti sina nimerudi tandaleeee

😩😩😩😩😩😩😩 jambo wewe, mi nimeadimika au wewe? Diamond ataniua huyu vichozi vimenitoka ati!
 
Huu wimbo unaniwazisha ntapokua tajiri mwaka kesho.........duuh sijui nikifulia mwaka 2050 #je utanipenda?
 
Get ready, on Friday dis week mkali wenu wa Afro pop anadondosha new hit song.

Chanzo: Diamond Platnumz Twiter A/C

...Updates...

Wimbo tayari umetoka.

Kali kuliko NANA hahahaaa....sorryyyy
 
Last edited by a moderator:
Platinum kaachia ngoma imesimama kwenye ukweli tuseme jamani.
 
Yaan huyu mondi anajua kumnyoosha kiba daaaaaa

Aaaaaaaah sana, sema ni kama kuuwa sisimizi kwa nyundo, huyo kiba ananyooshwa in the way tu kwasababu hizi sio level zake kabisa ni kumuonea
https://m.youtube.com/watch?v=q9l2ItDLsUk&itct=CG0QpDAYACITCPGL6M6X18kCFdW9HAodMWsCBTILYzQtb3ZlcnZpZXdaGFVDZXYtYi14eS1wNWZISzh4M3pKeW4xUQ%3D%3D&client=mv-google&gl=TZ&hl=en
 
Hii nymbo inawahusu weng sana ata kamanda wangu LOWASSA lakn mm bado NAMPENDAAAAAAAAAAGA.
 

U killed it Bro! This Is How GT We Always Think.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…