Haaaaa...Kuna ya kuvaa siku hizi
Kaki megea dadako nnJamaa kazd sasa ni too much.
Drake ni mnyamwezi kwelkwel, anawachapa kina Minaj,Rihanna kimyakimya. Hana yale mambo ya kuweka kambi, kina Chris Brown ndo malofa ving'ang'aniziMondi hana utofauti na drake[emoji23][emoji23]
Kiba babu uyo lazima aoeAoe Halafu mengine yatafuata mbn kiba kutulia wewe unadhani wanawake hawamtaki?ajiheshimu kwanza na watamuogopa.
Hivi ni kweli amechapa Nandy?
Si unaona hata Avatar hiyo.Mkuu, ilo jina lako, ukiwa kwenye ndege alafu ukasikia rubani analitamka, anza tu kusali sala ya mwisho!
Nenda post #94Mpaka nafika page ya tano hakuna picha ya Natasha
Naomba utengue kauli iliyojumuisha wanaume wote... mbona tunadharirishana?Jamani ya gred na 33kv hayahusiani kabisaa na mada tajwa,tunamsemo sisi wasukuma unasema hivi ,n'hamba kwee lemir'ha,manayake ni ukiwa unapenda vitu vizuri vizuri sharti ufanye kazi kwa bidii ili uvipate usije kua unaviona kwa jirani na kuanza kuona wivu,hakika kwa mwanaume hayupo ambaye hapendi kufanya kama diamond anavyofanya kikubwa hapa mfuko ndiyo shida ukiwanazo aaa tena diamond akawa rafiki yako.
Ndio maan ana hogoView attachment 950615
Acheni kudharau thread za watuUnaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
Asante MkuuNenda post #94