Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Hawa mademu Co kwamba wanapenda kuchezewa Bali wanajaribu bahati zao kwa mondi lakini jamaa bado haaminiki,but ngoja tuone wiki ijayo ataibuka nani tena,maana kila kukicha anaibuka mwingine,listi inaongezeka,kumbuka the latest ni tanasha Donna.
 
Mpaka nafika page ya tano hakuna picha ya Natasha
 
Jamani ya gred na 33kv hayahusiani kabisaa na mada tajwa,tunamsemo sisi wasukuma unasema hivi ,n'hamba kwee lemir'ha,manayake ni ukiwa unapenda vitu vizuri vizuri sharti ufanye kazi kwa bidii ili uvipate usije kua unaviona kwa jirani na kuanza kuona wivu,hakika kwa mwanaume hayupo ambaye hapendi kufanya kama diamond anavyofanya kikubwa hapa mfuko ndiyo shida ukiwanazo aaa tena diamond akawa rafiki yako.
Naomba utengue kauli iliyojumuisha wanaume wote... mbona tunadharirishana?
 
Muziki wa Diamond unahitaji "kiki" akiacha kufanya hivyo kwisha kazi...ndio maana wananunua media zote wapigwe wao..Clouds katosa wamekuja na konki konki
 
Ucha ujinga tafuta hela hayo ni yake wewe hayakuhusu.
 
Back
Top Bottom