Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Takataka?Weka humu 🗑️
Waafrica tuna safari ndefu sanaWadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo kadhaa hapo nyuma.
Wadau wanadai Jay melody baada tu kufanya wimbo wa pamoja na diamond platnumz ndio basi tena, hasikiki tena. Hata akitoa wimbo sasa hivi haufiki mbali kama hapo awali.
Hata hivyo msanii Jay melody amekanusha vikali madai hayo ya kuibiwa nyota yake.
View attachment 3574166
Takbir ⚔️Takataka?
Imani potofu kabisaWadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo kadhaa hapo nyuma.
Wadau wanadai Jay melody baada tu kufanya wimbo wa pamoja na diamond platnumz ndio basi tena, hasikiki tena. Hata akitoa wimbo sasa hivi haufiki mbali kama hapo awali.
Hata hivyo msanii Jay melody amekanusha vikali madai hayo ya kuibiwa nyota yake.
View attachment 3574166
📌Unaweza kuiba nyota ya MTU Masikini uliyemzidi Kila kitu .?Huu ni utoto , Diamond ana juhudi kubwa ktk kazi
😂😂😂😂Harmonize na rayvany wenyewe hawakuibiwa hizo nyota zao?