Label zinaonekana zinabana sababu wasanii hawasomi mikataba na kuielewa wakati ya kuisaini.Aiseee
Labels zote zinabana wasanii
Ni identity mkuu siunajua mambo ya auto correction sorry kama hukuelewaIdentify yako? Kwani si ungetumia kiswahili tuu kuliko kujifedhehesha namna hii!
Mwaka wenu huu msipoangalia mtaugua msongo wa mawazoHeri Universal kuliko CCM
Angalia umri niliokuwepo hapa kabla ya kunijibu....JF ilikua ngumu miaka hio sio huu upuuzi wa Lumumba, eti unipe stress huu?? Aagh wapiMwaka wenu huu msipoangalia mtaugua msongo wa mawazo
Hivi hushajiuliza kwa nini Vannesa hakumfuata au hata kumpigia simu Diamond na kumuuliza kuhusu mikataba ya Universal?Diamond kukaa kimya sio solution kabisa kama unahisi kumwaga data kwa identity yako ingeleta au italeta conflit of interest na universal basi mpe mtu hizo data azimwage bila hata wewe kujulikana kuwa ndio source wa izo data hio itasaidia sana wasanii wetu hawa ambao kiuhalisia sio wao wala management zao hazina exposure na international affairs kabisa ivo wakisikia tu kitu ni international basi hakuna kusoma terms and conditions wao ni kumwaga tu wino mbele ya mi camera mpaka wasanuke kuwa wameingizwa mkenge ni too late
Wasanii ni watu ambao hawataki kabisa kujiongeza katika career zao ndio mana wanazolewazolewa tu kama ngombe mwisho wa siku mfukoni wanabaki weupe hakuna kitu wanapata ukifatilia izi mikataba za mabango ndio utajua hawa wasanii wetu kweli hamna kitu
They dont know how to value themselves shule pia ni shida hawajui wanachokifanya zaidi ya show off tu mitandaoni
Na mwisho kabisa maradhi huja kuwa mwarobaini wao hatukatai tamaduni za kuchangiana ila leo ukisikia Harmonize anaomba 20m au alikiba kwa ajili ya upasuaji utashangaa kuwa huyu na jina lote hili hata 20m anakosa kwenye akiba zake na collections
End of story na mjadala ufungwe.Hivi hushajiuliza kwa nini Vannesa hakumfuata au hata kumpigia simu Diamond na kumuuliza kuhusu mikataba ya Universal?
Kwa kifupi wasanii wabongo hawapendani ,wana vinyongo na wanachukiana na ndio maana ni ngumu Industry yetu kukua sababu hawa shei mawazo,kesho usi shangae Konde Boy akasaini na Sony akashindwa kumuliza Kiba kuhusu negative side ya mikataba ya Sony au akasini na Universal akashindwa kumuliza Diamond kuhusu mikataba ya Universal.
Mwisho wa siku wasanii pamoja ya kuwa wanachukiana wao kwa wao ,wajaribu basi kukaa na wanasheria hata wa kawaida wawachambulie vipengele kwenye mikataba yao wavielewe kabla ya kusaini.
Mambo mengine si inaonekana ni error tu kwenye uandishi.Identity na Identify.Halafu post yake yote umeona hapo tu? Una shida mahali.identify yako?????kwan si ungetumia kiswahili tuu kuliko kujifedhehesha namna hii!!!!
Universal kama Universal ni label namba moja kati ya label Tatu zenye nguvu duniani katika tasnia ya burudani ikifuatiwa na Sony na Warner Bros... kujaribu kuiongelea kwa mabaya label kama hiyo ni kama unajizika maana hapo ktk hiyo label kuna makampuni yote ya usambazaji wa kazi za muziki yanayomilikiwa na label hiyo,pia hiyo label inasimamia label kubwa zote kuanzia CASH MONEY RECORDS,DEF JAM RECORDS,ROC NATION,BAD BOYS,INTESRSCOPE n k Diamond Mimi naona bora akae kimya tu akili kumkichwa kwa hao watakaosaini mikataba na universal akijaribu kuipondea tu career yake ndio itakuwa over hatoweza kusurviveDiamond kukaa kimya sio solution kabisa kama unahisi kumwaga data kwa identity yako ingeleta au italeta conflit of interest na universal basi mpe mtu hizo data azimwage bila hata wewe kujulikana kuwa ndio source wa izo data hio itasaidia sana wasanii wetu hawa ambao kiuhalisia sio wao wala management zao hazina exposure na international affairs kabisa ivo wakisikia tu kitu ni international basi hakuna kusoma terms and conditions wao ni kumwaga tu wino mbele ya mi camera mpaka wasanuke kuwa wameingizwa mkenge ni too late
Wasanii ni watu ambao hawataki kabisa kujiongeza katika career zao ndio mana wanazolewazolewa tu kama ngombe mwisho wa siku mfukoni wanabaki weupe hakuna kitu wanapata ukifatilia izi mikataba za mabango ndio utajua hawa wasanii wetu kweli hamna kitu
They dont know how to value themselves shule pia ni shida hawajui wanachokifanya zaidi ya show off tu mitandaoni
Na mwisho kabisa maradhi huja kuwa mwarobaini wao hatukatai tamaduni za kuchangiana ila leo ukisikia Harmonize anaomba 20m au alikiba kwa ajili ya upasuaji utashangaa kuwa huyu na jina lote hili hata 20m anakosa kwenye akiba zake na collections
Universal kama Universal ni label namba moja kati ya label Tatu zenye nguvu duniani katika tasnia ya burudani ikifuatiwa na Sony na Warner Bros... kujaribu kuiongelea kwa mabaya label kama hiyo ni kama unajizika maana hapo ktk hiyo label kuna makampuni yote ya usambazaji wa kazi za muziki yanayomilikiwa na label hiyo,pia hiyo label inasimamia label kubwa zote kuanzia CASH MONEY RECORDS,DEF JAM RECORDS,ROC NATION,BAD BOYS,INTESRSCOPE n k Diamond Mimi naona bora akae kimya tu akili kumkichwa kwa hao watakaosaini mikataba na universal akijaribu kuipondea tu career yake ndio itakuwa over hatoweza kusurviveDiamond kukaa kimya sio solution
kabisa kama unahisi kumwaga data kwa identity yako ingeleta
au italeta conflit of interest na
universal basi mpe mtu hizo data
azimwage bila hata wewe kujulikana kuwa ndio source wa izo data hio itasaidia sana wasanii wetu hawa ambao kiuhalisia sio wao wala management zao hazina exposure na international affairs kabisa ivo wakisikia tu kitu ni international basi hakuna kusoma terms and conditions wao ni kumwaga tu wino mbele ya mi camera mpaka wasanuke kuwa wameingizwa mkenge ni too late
Wasanii ni watu ambao hawataki kabisa kujiongeza katika career zao ndio mana wanazolewazolewa tu kama ngombe mwisho wa siku mfukoni wanabaki weupe hakuna kitu wanapata ukifatilia izi mikataba za mabango ndio utajua hawa wasanii wetu kweli hamna kitu
They dont know how to value themselves shule pia ni shida hawajui wanachokifanya zaidi ya show off tu mitandaoni
Na mwisho kabisa maradhi huja kuwa mwarobaini wao hatukatai tamaduni za kuchangiana ila leo ukisikia Harmonize anaomba 20m au alikiba kwa ajili ya upasuaji utashangaa kuwa huyu na jina lote hili hata 20m anakosa kwenye akiba zake na collections
hakuponda alisema kuna mazuri na mabaya kwenye mikataba yao..akatoa mfano wa kutoa nyimbo akisema kuna muda mwingne anataka kutoa nyimbo kimehemko lakini ukiwa na uni basi mikataba inaongea...kiufupi alionyesha kukutana na changamoto lakini akasema wenzake wa wcb hawatopitia hayo aliyopitia yeyeUniversal kama Universal ni label namba moja kati ya label Tatu zenye nguvu duniani katika tasnia ya burudani ikifuatiwa na Sony na Warner Bros... kujaribu kuiongelea kwa mabaya label kama hiyo ni kama unajizika maana hapo ktk hiyo label kuna makampuni yote ya usambazaji wa kazi za muziki yanayomilikiwa na label hiyo,pia hiyo label inasimamia label kubwa zote kuanzia CASH MONEY RECORDS,DEF JAM RECORDS,ROC NATION,BAD BOYS,INTESRSCOPE n k Diamond Mimi naona bora akae kimya tu akili kumkichwa kwa hao watakaosaini mikataba na universal akijaribu kuipondea tu career yake ndio itakuwa over hatoweza kusurvive