Diamond Platnumz: Nimemalizana na Universal, ninapoona msanii ana-sign namsikitikia

Diamond Platnumz: Nimemalizana na Universal, ninapoona msanii ana-sign namsikitikia

Hivi hushajiuliza kwa nini Vannesa hakumfuata au hata kumpigia simu Diamond na kumuuliza kuhusu mikataba ya Universal?

Kwa kifupi wasanii wabongo hawapendani ,wana vinyongo na wanachukiana na ndio maana ni ngumu Industry yetu kukua sababu hawa shei mawazo,kesho usi shangae Konde Boy akasaini na Sony akashindwa kumuliza Kiba kuhusu negative side ya mikataba ya Sony au akasini na Universal akashindwa kumuliza Diamond kuhusu mikataba ya Universal.

Mwisho wa siku wasanii pamoja ya kuwa wanachukiana wao kwa wao ,wajaribu basi kukaa na wanasheria hata wa kawaida wawachambulie vipengele kwenye mikataba yao wavielewe kabla ya kusaini.
Kuna ukweli lakini
 
Hii mada ni pana mnooo. Hizi big labels duniani zimekuja kuua muziki wa Africa. Wengi wanawalalamikia sio SONY, UNIVERSAL, COLUMBIA, VIRGIN, WARNER MUSIC wala DEFJAM. msanii akiingia mkataba hapo watamchangamsha projects za mwanzo tu baada ya hapo unazimwa, hakuna kutoa ngoma baada ya miezi kibao hadi mwaka sometimes, faida nyingi inaenda kwao na sio kwa msanii.

Mbaya zaidi mikataba wanaosainishwa wamarekani ni tofauti na wanaosainishwa waafrica, vipengele vimebadilishwa badilishwa.
 
Diamond kukaa kimya sio solution kabisa kama unahisi kumwaga data kwa identity yako ingeleta au italeta conflit of interest na universal basi mpe mtu hizo data azimwage bila hata wewe kujulikana kuwa ndio source wa izo data hio itasaidia sana wasanii wetu hawa ambao kiuhalisia sio wao wala management zao hazina exposure na international affairs kabisa ivo wakisikia tu kitu ni international basi hakuna kusoma terms and conditions wao ni kumwaga tu wino mbele ya mi camera mpaka wasanuke kuwa wameingizwa mkenge ni too late
Wasanii ni watu ambao hawataki kabisa kujiongeza katika career zao ndio mana wanazolewazolewa tu kama ngombe mwisho wa siku mfukoni wanabaki weupe hakuna kitu wanapata ukifatilia izi mikataba za mabango ndio utajua hawa wasanii wetu kweli hamna kitu
They dont know how to value themselves shule pia ni shida hawajui wanachokifanya zaidi ya show off tu mitandaoni
Na mwisho kabisa maradhi huja kuwa mwarobaini wao hatukatai tamaduni za kuchangiana ila leo ukisikia Harmonize anaomba 20m au alikiba kwa ajili ya upasuaji utashangaa kuwa huyu na jina lote hili hata 20m anakosa kwenye akiba zake na collections
Sio lazima atumie mtu mwingine kuandika yaliyopo universal bali angemuita dada ake chemba amtonye direct.!
Alichokifanya ndo asili ya wabongo wengi, utakuta anakuacha ubugi halafu mwisho anakuja anasema mi nilijua tu hilo hukustahili mara hili mara lile.
 
kwani vannesa yupo wcb??angeingiliwa tungeanza kulaumu kwann??kwanza vannesa mwenywe yamemshinda mapenzi mpaka muziki tusiongelee kilichokufa na kuzikwa
 
Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi kuwa akiona Msanii ana sign anamsikitikia,

" Nimefanya kazi na Universal takribani miaka miwili na nusu na Nimemalizana nao mwaka huu, nisiwe mnafiki ninapoona msanii yeyote aki-sign mara ya kwanza namsikitikia. Dada yangu Vanessa Mdee alisainiwa niliwaambia uongozi duuh Natamani ajue anachoenda kukutana nacho. Lakini mimi sio mtu wa kuongea mitandaoni, nakaaga tu kimya," Amesema Diamond

Mlimsifiaaaaa. Hapa imekuaje tena[emoji1787][emoji16][emoji16]
 
nilishasoma ulichohoji ni kuwa dai anajishembendua ndo na mie nauliza ukisema ukweli siku moja tukwambie unajishaua na ww..sasa nikasomeje tena mkuu
Sijahoji nimewasilisha na ndio maana nikatumia " ".
 
Sio lazima atumie mtu mwingine kuandika yaliyopo universal bali angemuita dada ake chemba amtonye direct.!
Alichokifanya ndo asili ya wabongo wengi, utakuta anakuacha ubugi halafu mwisho anakuja anasema mi nilijua tu hilo hukustahili mara hili mara lile.
Kwani mwenye uwitaji Ni Diamond au Vanessa? Mpaka mmoja amfuate mwingine kwani Vanessa alikuwa ajui Kama Kaka yake ana mkataba na universal?
 
Yeye kashavuna, asitake kuwakatisha tamaa wengine

Ova
 
Hivi hushajiuliza kwa nini Vannesa hakumfuata au hata kumpigia simu Diamond na kumuuliza kuhusu mikataba ya Universal?

Kwa kifupi wasanii wabongo hawapendani ,wana vinyongo na wanachukiana na ndio maana ni ngumu Industry yetu kukua sababu hawa shei mawazo,kesho usi shangae Konde Boy akasaini na Sony akashindwa kumuliza Kiba kuhusu negative side ya mikataba ya Sony au akasini na Universal akashindwa kumuliza Diamond kuhusu mikataba ya Universal.

Mwisho wa siku wasanii pamoja ya kuwa wanachukiana wao kwa wao ,wajaribu basi kukaa na wanasheria hata wa kawaida wawachambulie vipengele kwenye mikataba yao wavielewe kabla ya kusaini.
Sema kwa ujumla watz hasa wa hali ya chini hawapendani
 
Back
Top Bottom