Diamond Platnumz: Nimemalizana na Universal, ninapoona msanii ana-sign namsikitikia

Kwa diamond universal music Ni wanyonyaji kushinda CCM wa lumumba, hakya Mungu maajabu hayataisha.
 
Kuna ukweli lakini
 
Hii mada ni pana mnooo. Hizi big labels duniani zimekuja kuua muziki wa Africa. Wengi wanawalalamikia sio SONY, UNIVERSAL, COLUMBIA, VIRGIN, WARNER MUSIC wala DEFJAM. msanii akiingia mkataba hapo watamchangamsha projects za mwanzo tu baada ya hapo unazimwa, hakuna kutoa ngoma baada ya miezi kibao hadi mwaka sometimes, faida nyingi inaenda kwao na sio kwa msanii.

Mbaya zaidi mikataba wanaosainishwa wamarekani ni tofauti na wanaosainishwa waafrica, vipengele vimebadilishwa badilishwa.
 
Sio lazima atumie mtu mwingine kuandika yaliyopo universal bali angemuita dada ake chemba amtonye direct.!
Alichokifanya ndo asili ya wabongo wengi, utakuta anakuacha ubugi halafu mwisho anakuja anasema mi nilijua tu hilo hukustahili mara hili mara lile.
 
kwani vannesa yupo wcb??angeingiliwa tungeanza kulaumu kwann??kwanza vannesa mwenywe yamemshinda mapenzi mpaka muziki tusiongelee kilichokufa na kuzikwa
 

Mlimsifiaaaaa. Hapa imekuaje tena[emoji1787][emoji16][emoji16]
 
nilishasoma ulichohoji ni kuwa dai anajishembendua ndo na mie nauliza ukisema ukweli siku moja tukwambie unajishaua na ww..sasa nikasomeje tena mkuu
Sijahoji nimewasilisha na ndio maana nikatumia " ".
 
Kwani mwenye uwitaji Ni Diamond au Vanessa? Mpaka mmoja amfuate mwingine kwani Vanessa alikuwa ajui Kama Kaka yake ana mkataba na universal?
 
Yeye kashavuna, asitake kuwakatisha tamaa wengine

Ova
 
Sema kwa ujumla watz hasa wa hali ya chini hawapendani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…