Hiyo ni bei ya mpya kabisa 0 km au Used??1,035,000,000 bei ya rolly bila kodi.
Ukiweka kodi hapo.
Ngoma itakuwa inatembelea 1,235,000,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahawa hizoWrite your reply...NDO MAANA NAMKUBALI MFALME YEYE ANA BUGATI MBILI NA MAHOTELI HAZI YA NYOTA TANO MOJA LIPO KENYA MOJA LIPO TZ NA WALA HUMSKII HAKIYAZUNGUMZIA SABABU HAPENDI KUNYIONYESHA
NA ZA CHINICHINI NI KWAMBA KINYWAJI CHA MOFAYA NI CHAKE PAMOJA NA KIWANDA CHAKE SEMA AMEWAKATAZA WALIWEKE WAZI HILO UONGOZI MZIMA HVYO AKAAMUA AJIFANYE BALOZI SABABU HAPENDI SHOW OFF NA AMEKATAZA MEDIA WALIZUNGUMZIE HILO
Tena ngwendulileNyinyi ndio mnamfanya kibakuli ajione king kumbe kingwendu
Anamtega mkeo amtafune we si mvivu mwanaume afu unamajungu hadi huku JF tafuta pesa babaVipi hajatangaza utaratibu wa kuwalipia kodi, mi nkajua interview ilikua ya kutangaza utaratibu kama ilivyosemwa,.
Sasa mbona habari Kubwa imekua ni Ya Hotel na Gari, Alafu misukuale yake Inashangilia, Kasema kamaliza tofauti yake na Mzazi mwenzake hapa misukule Imenuna, Jana misukule ilishupaza shingo kumchamba zari jamaa kapiga simu kajishusha wayamalize..
Mambo ya Kununua Magari na mahotel yanatuhusu nini Misifa tu na kutafuta kutrend, Babako analala nyumba ya tope we unatangaza kununua Mahotel, pimbiz na kengez zinashangalia na kufurai wakati hata baisker hazina
Anasumbuliwa na wivu wa kike,aende kwa aboud akaendeshe gari za kubebea maiti pale moroHuyo aliye too much faking ana 45% share... wewe unazo ngapi?!
Anyway, baada ya kupitia posts zako nimekuta ndo kwanza unaomba usaidiwe kupata kazi ya ualimu!!
Kumbe unasumbuliwa na wivu unaotokana kukosa hata kazi ya kufanya!!
Ngoja nikupuuze, manake hakuna uendawazimu kama kubishana na mtu wa aina yako!!
[emoji3][emoji3][emoji3] ila kweli si ile imejengwa kwa kutumia udongo wa mfinyaziAli Kiba mbona ana Hotel 5 kwenye mbuga ya Serengeti na Ngorongoro ila hajawahi kusema.
Mkuu wacha muda utajibu tu.
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja na conference room, pia amedokeza suala la kununua gari ya ndoto yake Rolls Royce ambayo ni ghali zaidi ila bado haijafika nchini na yupo katika hatua za mwisho kuifikisha.
Amezungumzia suala la kukataa kulea watoto wake aliozaa na Zari the bosslady kuwa alimtafuta mzazi mwezie huyo na tayari wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.
Kuhusu hoteli hiyo Diamond ameiomba wizara ya Afya kama ipo tayari waifanye hata karantini kwa ajili ya wagonjwa wa corona kwani kabla ya kuanza kutumika anatarajia kuifanyia marekebisho ya kuiongeza hadhi.
View attachment 1432229
Hiyo Rolls Royce ishafika au bado?
🤣🤣🤣🤣🤣Bongo bahati mbayaMwaka 2014 alisema analeta Phantom ROZI ROZI ipo kwenye maji ,miaka 6 bado haijafika mpaka leo.
Mkuu usanii ni kipaji ujue [emoji1787] Rozi Rozi iko majini inakuja taratiiiiiiiiibu ndiyo mwendo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bongo bahati mbaya
Mwendo wa Rozi ROZI kuja Bongo ni kama ule wa Wana wa Israel kutoka Misri kwenda Canaan.Mwaka 2014 alisema analeta Phantom ROZI ROZI ipo kwenye maji ,miaka 6 bado haijafika mpaka leo.
Miaka 40Mwendo wa Rozi ROZI kuja Bongo ni kama ule wa Wana wa Israel kutoka Misri kwenda Canaan.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
HahahaMwendo wa Rozi ROZI kuja Bongo ni kama ule wa Wana wa Israel kutoka Misri kwenda Canaan.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi kote huko sina shida nako. Naomba ataje tu jina la hotel hadharani. Isijekuwa ya Baraka kupost nyumba ya mama mkwe.Watesema si yake "anatafuta KIKI",wengine utawasikia " kama hotel yake aweke documents".