Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Write your reply...NDO MAANA NAMKUBALI MFALME YEYE ANA BUGATI MBILI NA MAHOTELI HAZI YA NYOTA TANO MOJA LIPO KENYA MOJA LIPO TZ NA WALA HUMSKII HAKIYAZUNGUMZIA SABABU HAPENDI KUNYIONYESHA

NA ZA CHINICHINI NI KWAMBA KINYWAJI CHA MOFAYA NI CHAKE PAMOJA NA KIWANDA CHAKE SEMA AMEWAKATAZA WALIWEKE WAZI HILO UONGOZI MZIMA HVYO AKAAMUA AJIFANYE BALOZI SABABU HAPENDI SHOW OFF NA AMEKATAZA MEDIA WALIZUNGUMZIE HILO
Kahawa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi hajatangaza utaratibu wa kuwalipia kodi, mi nkajua interview ilikua ya kutangaza utaratibu kama ilivyosemwa,.

Sasa mbona habari Kubwa imekua ni Ya Hotel na Gari, Alafu misukuale yake Inashangilia, Kasema kamaliza tofauti yake na Mzazi mwenzake hapa misukule Imenuna, Jana misukule ilishupaza shingo kumchamba zari jamaa kapiga simu kajishusha wayamalize..

Mambo ya Kununua Magari na mahotel yanatuhusu nini Misifa tu na kutafuta kutrend, Babako analala nyumba ya tope we unatangaza kununua Mahotel, pimbiz na kengez zinashangalia na kufurai wakati hata baisker hazina
Anamtega mkeo amtafune we si mvivu mwanaume afu unamajungu hadi huku JF tafuta pesa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo aliye too much faking ana 45% share... wewe unazo ngapi?!

Anyway, baada ya kupitia posts zako nimekuta ndo kwanza unaomba usaidiwe kupata kazi ya ualimu!!

Kumbe unasumbuliwa na wivu unaotokana kukosa hata kazi ya kufanya!!

Ngoja nikupuuze, manake hakuna uendawazimu kama kubishana na mtu wa aina yako!!
Anasumbuliwa na wivu wa kike,aende kwa aboud akaendeshe gari za kubebea maiti pale moro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King ashaimba na R Kelly lakini huwezi kuona yuko na show off kama huyu jamaa.
 
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja na conference room, pia amedokeza suala la kununua gari ya ndoto yake Rolls Royce ambayo ni ghali zaidi ila bado haijafika nchini na yupo katika hatua za mwisho kuifikisha.

Amezungumzia suala la kukataa kulea watoto wake aliozaa na Zari the bosslady kuwa alimtafuta mzazi mwezie huyo na tayari wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.

Kuhusu hoteli hiyo Diamond ameiomba wizara ya Afya kama ipo tayari waifanye hata karantini kwa ajili ya wagonjwa wa corona kwani kabla ya kuanza kutumika anatarajia kuifanyia marekebisho ya kuiongeza hadhi.

View attachment 1432229

Fensi mbona imechoka sana? "ROZI ROZI" anaijua vizuri? asifikiri ROZI ROZI ni sawa na Mikweche yake ya MJAPANI.
 
Watesema si yake "anatafuta KIKI",wengine utawasikia " kama hotel yake aweke documents".
Mimi kote huko sina shida nako. Naomba ataje tu jina la hotel hadharani. Isijekuwa ya Baraka kupost nyumba ya mama mkwe.
 
Back
Top Bottom