Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] khaaaah Kwan wasafi ni ya kwake? Hihihihihihihihihihih

Sent using
Jamii Forums mobile
app
Kwai mpaka iwe ya kwake inatakiwa iwe kwa namna IPI? mm nnavyojua ana hisa za asilimia 45 pale...hii inatosha kabisa kumuita ni mmoja wa wamiliki na kampuni zinazomilikiwa 100% na mtu mmoja hapa duniani ni chache sana hata Facebook mark anamiliki asilimia kadhaa tu,Microsoft Bill gates anamiliki share ya asilimia kadhaa tu,hata E media Majzo anamiliki asilimia kadhaa tu...chuki zisiwafanye mjitoe ufahamu mtachekwa kwa watu wanaoelewa meaning of share holding
 
hahaaah ndiyo mi ni maskini mkuu na ninatafuta ajira ndiyo...nimepanga kama huyo boss wako unaemsifia alivyopanga kwenye nyumba za watu.

kwa heri mkuu,nisije nikawa nabishana na kina juma lokole..we kuanzia lini umeona kidume kizima kinasimama kumsifia mwanaume mwenzie??..kinatoa mpaka mipovu kabisa😂😂😂
 
kumbe ana 45%..mi nilidhani zote 100%
zake coz alikuwa anajitapa kuwa anaanzisha media yake kumbe sio
yake??
Inaelekea una elimu ndogo sana aisee..hebu tulia uelekezwe basi maana kwa comment yako hii nimegundua hujawahi kuwa na rafiki,jirani,ndugu,jamaa au MTU yoyote was karibu yako mwenye kampuni! angekuwepo usingeendelea kuonyesha ujuha wako hapa
 
🤣🤣🤣🤣🤣we jamaa bana umenichekesha sana, kwamba umemfuatilia msela mpaka posts zake ili ujue ni mtu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, maisha umeyakosea mwenyewe, sasa unamlilia lilia nani hapa!!
 
Mwenzako kapanga alafu ana nyumba nyingi anamiliki ana ile ya madale ambayo kampa mama yake mzazi,ana ile ya South kawapawa watoto wake waishi na mama yao ana nyumba zingine kapangisha anachukua Kodi uoni tofauti yako na yeye.Na hiyo aliyopanga kapanga mission maalumu ili awe karibu na ofisi yake ya wasafi media.
 
🤣🤣🤣🤣🤣we jamaa bana umenichekesha sana, kwamba umemfuatilia msela mpaka posts zake ili ujue ni mtu wa aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Man, yaani JF sometimes mtu unalazimika kuangalia background za wachangiaji ili usiumize kichwa!! Sasa jamaa anamponda mtu mwenye Hisa za TV kwa 45% wakati mwenyewe hata kazi hana... ndo kwanza anaulizia JF watu wamuunganishie kazi!!
 
naona nimevamiwa na kina juma lokole...kidume kizima kinaorodhesha mali za mwanaume mwenzie😂😂😂😂😂
 
Pole sana, maisha umeyakosea mwenyewe, sasa unamlilia lilia nani hapa!!
Huyo alivyo na akili fupi na double standard bilgate ana sema Ni mmiliki wa software wakati mwenye share kubwa Ni Steve balmer, mark Zuckerberg wanamwita Ni mmiliki wa fb lakini ana share ndogo 25% lakini diamond anamiliki 45% wanasema sio mmiliki duh yaani bongo kwa chuki siwawezi
 
Inaelekea una elimu ndogo sana aisee..hebu tulia uelekezwe basi maana kwa comment yako hii nimegundua hujawahi kuwa na rafiki,jirani,ndugu,jamaa au MTU yoyote was karibu yako mwenye kampuni! angekuwepo usingeendelea kuonyesha ujuha wako hapa
nafahamu vizuri kuwa kampuni huwa haimilikiwi na mtu mmoja sheria hairuhusu....huyo diamond hata sheria ingeruhusu asingeweza na hana hela ya kuanzisha kuimiliki kampuni ya wasafi media peke yake...wenzie wenye hela kweli za kuanzisha na kumiliki makampuni huwa wanaanzisha kampuni na shares wanakuwa ni wanafamilia hii ni loophole kwenye sheria inayomfanya mtu amiliki kampuni yake ndugu anawatumia kama chambo tu kutimiza matakwa ya sheria Eg wakina dewji na makampuni yao na wakina bakhresa hii ndo njia waliyoitumia kuanzisha makampuni yao...sasa njoo hapa uniambie kati ya mimi na wewe nani yupo deep na anajua haya mambo vizuri
 
Acha kujichekesha chekesha wewe, utaolewa dogo... mtu mwenyewe watu wameshakushitukia kwamba choka mbaya, halafu bado unajichekesha chekesha!!!
sawa na wewe endelea kusifia wanaume wenzio..huenda ushaolewa baada ya kuwasifia so hapa upo kutetea ndoa yako
 
Man, yaani JF sometimes mtu unalazimika kuangalia background za wachangiaji ili usiumize kichwa!! Sasa jamaa anamponda mtu mwenye Hisa za TV kwa 45% wakati mwenyewe hata kazi hana... ndo kwanza anaulizia JF watu wamuunganishie kazi!!

hahahaha mkuu ni lazima uelewe kwamba Watanzania wengi hatujui vitu viwili , Siasa na Burudani na mbaya zaidi tuna wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me sijui vingine hapo ila mofaya
Ni kinywaji ambacho kipo muda mrefu tu tangu hata kiba hajajua kama kuna kinywaji kinaitwa mofaya

Yule nadhani ni mshereheshaji tu wa hicho kinywaji kwa hapa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu waambie wakasome BUSINESS LAW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…