AFRONODI
New Member
- Oct 4, 2019
- 1
- 13
Mtu akijajua maana ya neno "usanii hawezi kuwa na maneno maneno na matendo ya wasanii". Haya yote mbona kila sehemu yanafanyika...hata kina Jay Z, Chris Brown, Rihana, Drake n.k huweka wazi baadhi ya mambo yao mfano, mahusiano, maisha yao kwa ck labda wanatumia sh. Hii yote ni kujibrand na kuadd value ya msanii ktk kazi zake. Sasa kwetu ss hapo BONGO unakta mtu anasema yann amefanya haya yote kututangazia? Hiyo ni life style ya msanii, ww ktk maisha ya leo ukiona jambo huoni thamani yake "MUTE" fanya yanayokuhusu ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app