Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Changamoto za magari mengine mpaka tunaogopa kuyaleta huko [emoji23]
Ila watu wabishi wanaleta tu
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Vipi hajatangaza utaratibu wa kuwalipia kodi, mi nkajua interview ilikua ya kutangaza utaratibu kama ilivyosemwa,.

Sasa mbona habari Kubwa imekua ni Ya Hotel na Gari, Alafu misukuale yake Inashangilia, Kasema kamaliza tofauti yake na Mzazi mwenzake hapa misukule Imenuna, Jana misukule ilishupaza shingo kumchamba zari jamaa kapiga simu kajishusha wayamalize..

Mambo ya Kununua Magari na mahotel yanatuhusu nini Misifa tu na kutafuta kutrend, Babako analala nyumba ya tope we unatangaza kununua Mahotel, pimbiz na kengez zinashangalia na kufurai wakati hata baisker hazina
 
Msanii Diamond platnumz akihojiwa ktk kipindi cha Good morning ya wasafi fm amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja na conference room, pia amedokeza suala la kununua gari ya ndoto yake Rolls Royce ambayo ni ghali zaidi ila bado haijafika nchini na yupo ktk hatua za mwisho kuifikisha.

Amezungumzia suala la kukataa kulea watoto wake aliozaa na Zari the bosslady kuwa alimtafuta mzazi mwezie huyo na tayari wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.

Kuhusu hoteli hiyo Diamond ameiomba wizara ya Afya kama ipo tayari waifanye hata karantini kwa ajili ya wagonjwa wa corona kwani kabla ya kuanza kutumika anatarajia kuifanyia marekebisho ya kuiongeza hadhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
NAJUA WENGI HAMTANIAMINI ILA KUNA UTAFITI WA KIJASUSI NIMEUFANYA NIMEGUNDUA DIAMOND PLATNUM ANACHEZA NA AKIRI ZA WATU KWA SABABU ANAJUA KUNA WAPO VIJIWENI KAZI YAO KUBISHANA VIJIWENI,

UKWELI NI KWAMBA YOTE ANAYOZUNGUMZA NI FIKSIIIII TUPU HUO UWEZO HANA ILA ANAZUNGUMZA IVO ANAJUA KUNA MATAIRA KAZI YAO NI KUBISHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaniii hadi kwenye maisha halisi
 
Kuba ana hotel kumi za nyota 20 mbona hajitangazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
huyu nae huwa ana fake maisha kupitiliza,wanafanya vijana waone kuwa wamechelewa sana kitu ambacho si kweli mwisho wa siku vijana wanaingia kwenye vitendo ovu ili nao wapate mali...too much faking yaani...vijana wenzangu tusipaniki na haya maigizo,huyu nae anaishi kwenye nyumba za kupanga kama sisi tu
 
Back
Top Bottom