Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Watu kimyaaa....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huyu nae huwa ana fake maisha kupitiliza,wanafanya vijana waone kuwa wamechelewa sana kitu ambacho si kweli mwisho wa siku vijana wanaingia kwenye vitendo ovu ili nao wapate mali...too much faking yaani...vijana wenzangu tusipaniki na haya maigizo,huyu nae anaishi kwenye nyumba za kupanga kama sisi tu
Ni ujinga tu na Ulimbukeni wa kutaka misifa, kulikua hakua haja ya kutangaza mahotel na Magari
 
Vipi hajatangaza utaratibu wa kuwalipia kodi, mi nkajua interview ilikua ya kutangaza utaratibu kama ilivyosemwa,.

Sasa mbona habari Kubwa imekua ni Ya Hotel na Gari, Alafu misukuale yake Inashangilia, Kasema kamaliza tofauti yake na Mzazi mwenzake hapa misukule Imenuna, Jana misukule ilishupaza shingo kumchamba zari jamaa kapiga simu kajishusha wayamalize..

Mambo ya Kununua Magari na mahotel yanatuhusu nini Misifa tu na kutafuta kutrend, Babako analala nyumba ya tope we unatangaza kununua Mahotel, pimbiz na kengez zinashangalia na kufurai wakati hata baisker hazina
Unapata tabu.
 
Mbona namba wameitangaza nenda instagram kwenye page za Wasafi TV.

We usemege mapema shida zako kwani ukilipiwa kodi ya miezi mitatu nani atakujua kama wewe haters wa WCB na Diamond.
Utaratibu wa hovyo kabisa..
 
Back
Top Bottom