Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Acha kutafuta huruma ya wanaume mitandaoni, utaolewa dogo....
yaani chizi leo umekutana na fyatu😂😂😂😂...leo tuoneshane tu makali dadeki tutaelewana tu leo..leo unalala macho twende kazi😂😂😂
 
Hongera sana DIMONDI kwa kununua hotei ya nyota 5 kwenye instagram na pia kununua ROZI ROZI ingawa bado haijafika tangia mwaka 2014 ulipoisafirisha.
 
Kwai mpaka iwe ya kwake inatakiwa iwe kwa namna IPI? mm nnavyojua ana hisa za asilimia 45 pale...hii inatosha kabisa kumuita ni mmoja wa wamiliki na kampuni zinazomilikiwa 100% na mtu mmoja hapa duniani ni chache sana hata Facebook mark anamiliki asilimia kadhaa tu,Microsoft Bill gates anamiliki share ya asilimia kadhaa tu,hata E media Majzo anamiliki asilimia kadhaa tu...chuki zisiwafanye mjitoe ufahamu mtachekwa kwa watu wanaoelewa meaning of share holding
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meza wembe hat uspate tabu, mbna unateseka san, wasafi sio ya kwake huyo domokaya ukweli japo mchungu Ila pokeeni hivyoooh tyuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom