Diamond platnumz pamoja na Rayvany kukiwasha Christmas hii Sokoine free entry

mboga TZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
444
Reaction score
503
Wasalaam wakuu baada ya muda mrefu Platnumz kutokukanyaga Mbeya, tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of Platnumz na wanambeya

Hii inasemekana ni kutokana na jamaa kuidis Mbeya kuwa hakuna hotel ya kulala yeye wanambeya walimind sana hili swala lakin mwaka huu naona ameamua kuachana na bifu na wanambeya kabla ya yeye kutokuwepo ilikuwa ni show ya Rayvany na wasanii wengine wanaotoka mbeya Ila yeye baadae akasema na Mimi nitakuwepo na itakuwa bure hakuna kingilio kabla hajasema atashiriki kiingilio ilikuwa 5000,karbu mbeya platnumz watu wa huku ni jeuri ila kwako hakuna wa kukupinga jeuri ya wanambeya kwisha
 
Bora angalau wakaweka hela maana wanaweza kusababisha maafa kuingia tu getini kutakuwa hapatoshi pia itafanya watu wastahabu kushindwa kufika Kama ni hivyo waweke ulinzi vizuri na pia mpangilio mzuri wa watu kuingia.
 
Ingekua clouds wametangaza kiingilio bure nyuzi za misukule ya wachafu zingejaa hapa jukwaani.

Domo aache sifa za kindez
Hamna mkuu platnumz level aliyopo anaweza akaweka kiingilio lakin ameamua kuwabless wana mbeya sio kwamba hawez kuweka kiingilio na watu wakaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kubless mkuu. Sifa mbaya sana. Angeachia ray nae ajimwambafai kule mbeya kwao wakati yeye akijiandaa kujimwambafai kigoma. Kaona ray atatawala sana kajipachika.

Mondi amefanya hivyo kwa love yake kwa wanambeya ila kwa clouds lazima watu watashangaa cos wanakuwa na wasanii wengi uwezi kuwaita wasanii wengi wakapiga show bure bila ridhaa yao
 
Hakuna cha kubless mkuu. Sifa mbaya sana. Angeachia ray nae ajimwambafai kule mbeya kwao wakati yeye akijiandaa kujimwambafai kigoma. Kaona ray atatawala sana kajipachika.
Rayvanny ndio alimuomba mondi aje Kama suprise artist Kama ujui ila mondi akaona Haina haja yakufanya hivyo so akaamua atangaze mapema.
 
Soma uzi vizuri ilikua show ya ray na wasanii wengine(hivyo hawa watapiga show bure bila ridhaa yao). Kunya anye kuku akinya bata kaharisha aiseee.

Love my flat ass
Mondi amefanya hivyo kwa love yake kwa wanambeya ila kwa clouds lazima watu watashangaa cos wanakuwa na wasanii wengi uwezi kuwaita wasanii wengi wakapiga show bure bila ridhaa yao
 
Mondi amefanya hivyo kwa love yake kwa wanambeya ila kwa clouds lazima watu watashangaa cos wanakuwa na wasanii wengi uwezi kuwaita wasanii wengi wakapiga show bure bila ridhaa yao
Kiingilio kikiwa bure ndio wasanii hawalipwi? Hivi unajua kila tamasha ni lazima liwe na wadhamini na hao wadhamini wanapiga hela nyingi tu kupitia hilo tamasha?
 
Imefika point Mimi nadhani itakuwa in vizuri zaidi hawa wakina vanny wawe wanapiga show wenyewe bila kumtegemea mond ili wajijenge zaidi na waweze kujitengenezea ufalme wao,hii ya kumualika domo kila show ni kukosa kujiamini tu na kuonesha bila domo you're nothing just a piece of trash, watu wanasema we msanii mkubwa sana show them how big you are? Show them you can pull a crowd by yourself,
 
Ingekua clouds wametangaza kiingilio bure nyuzi za misukule ya wachafu zingejaa hapa jukwaani.

Domo aache sifa za kindez
Numbisa umeacha kutupia hadithi kiguu na njia kumbe upo huku?Salama lakini?
 
Wasanii gan wengine watakuwepo ?? Hii show sio ya kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…