mboga TZ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 444
- 503
Wasalaam wakuu baada ya muda mrefu Platnumz kutokukanyaga Mbeya, tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of Platnumz na wanambeya
Hii inasemekana ni kutokana na jamaa kuidis Mbeya kuwa hakuna hotel ya kulala yeye wanambeya walimind sana hili swala lakin mwaka huu naona ameamua kuachana na bifu na wanambeya kabla ya yeye kutokuwepo ilikuwa ni show ya Rayvany na wasanii wengine wanaotoka mbeya Ila yeye baadae akasema na Mimi nitakuwepo na itakuwa bure hakuna kingilio kabla hajasema atashiriki kiingilio ilikuwa 5000,karbu mbeya platnumz watu wa huku ni jeuri ila kwako hakuna wa kukupinga jeuri ya wanambeya kwisha