Diamond platnumz, Rich Mavoko, Rayvanny, Harmonize live in Dar

Please naomba mni beep tickets zikianza kuuzwa, nami najipanga.
 
Hilo ni wazo zuri.

Anaweza na atafunika sana wajipange. ..promo ziwe za kutosha.

Wataanzisha kitu kipya kabisa. ..ila wachukue na wasanii wa nje mkali ili kunogesha alafu wapinzani wao watakodoaaa..
 
utatoa povu sana ila haya mambo ni toka zamani enzi hizo za akina 2pac Om
Mwisho wa 2pac na B.I.G nadhani unaujua?
umeshawahi kuona team chris brown?

Nampenda sana mtu kana Barnaba boy anapambana na hali yake mwenyewe sio kupambana na hayo matimu ushuzi.
 
Mwisho wa 2pac na B.I.G nadhani unaujua?
umeshawahi kuona team chris brown?

Nampenda sana mtu kana Barnaba boy anapambana na hali yake mwenyewe sio kupambana na hayo matimu ushuzi.
Mbona ipo teambreezy ya chris brown na anatupaga s.o sana kwny social networks, haya mambo ya team n kawaida kwny game hata uko mbele n ukileta ujinga kwa msanii wao wanakunyoosha na izo team zina majina special km ivi
Beyonce (bey hive)
Rihanna (rihanna navy)
Nick minaj (barbz)
Selena gomez (selenators)
Justin beiber (beliebers)
Taylor swift (swifties)
Ariana grande (arianators)
Katty perry (katcats)
Uzuri wa team za wenzetu msanii akitoa nyimbo, album au product yoyote wana toa support ya kutosha na wananunua icho kitu au kwnd kwny tamasha tofauti n izi za kibongo wao wanajua kutukana tu, hao team wema star wao anazisha kila biashara mara lipstick, sendo zina buma kwasababu hawatoi support Na hawa team kiba ndo hamna kitu kabisa kazi kutunga story za uongo
 
Diamond akianza kuandaa matamasha yake mwenyewe,Ruge atakufa kwa presha.

Hayo ni mawazo yako, Ruge ni zaidi ya Ruge unaemjua wewe na ninae mjua mimi.

Asilimia 93.999 ya Mafanikio yote ya Domo ni akili za Clouds.
 

hizi team zote za bongo ni team uharo.
acheni kuendekeza ujinga.
 
Live si bora niende njenje kwa sauti ile ya dai si nitaharibu siku yangu jamani?
 
Na mikoani waende yaan wakifanya show trh 25 pale ccm kirumba mwanza itakua balaa
 
Mbona kuna uzi ulikua unazunguka humu kuwa Diamond hatafanya show Tz hadi mwakani....ratiba iko busy mno
 
Mbona kuna uzi ulikua unazunguka humu kuwa Diamond hatafanya show Tz hadi mwakani....ratiba iko busy mno
Hiyo tarehe anakuwa free,ndio maana wameipanga hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…