sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sidhani kama upo sahihi nafikiri Yanga imejipambanua kama club inayoendeshwa kisasa hivyo vijana wa kisasa kama diamond lazima wavutiwe.NILISEMA JUZI YANGA INAKARIBIA KUWA CHAMA KAMILI CHA SIASA NA VILE WAKALI WALIOSTAAFU WASIOSTAAFU WAPO PALE.leti us looku
Wapenzi wa timu nao wanahama siku hizi.Sidhani kama upo sahihi nafikiri Yanga imejipambanua kama club inayoendeshwa kisasa hivyo vijana wa kisasa kama diamond lazima wavutiwe.
Jibu swali basi, wewe ni shoga au umeshaacha?Kwa comment yako kuhusu relationship ya buggati leo umejitangaza rasmi wewe ni 👇👇👇
View attachment 2487424
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kamtafunia bi mdogo anataka akamalizie na yule mkubwa... Afu unaweza kukuta lile zombie hata halijastukia mchezo....
Diamond hana tofauti na katibu wa Masanja....
Clip ipo wapi uiweke tuone akisema hivyona hatoitwa Simba amesema sasa hivi yeye ni Chura bin laden
Hivi shabiki wa football anaweza kuhama timu moja kwenda nyingine? Embu kuweni serious basi!