sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City
Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha.
Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za kutosha..
BTW; wataalam wa macho ya rohoni mnakiona kiganja icho??😊