Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

Lakini hilo jina kajipa mwenyewe kwenye IG yake leo asubuhi.
 
View attachment 2592858

Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City

Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha.

Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za kutosha..

BTW; wataalam wa macho ya rohoni mnakiona kiganja icho??😊
Namba moja wa kitu gani?
 
Back
Top Bottom