Diamond Platnumz: Tangu niwe na Zari sijatongoza msichana mwingine

Aiseee team nanilii wamepanic bwahahahahaa kwani dai katembea na tununu pekee akiwa ndan ya mahusiano na zari? Watu mnajitekenya na kucheka wenyewe

Zari bana kumbe ni role model wa wengi basi tu wanajikuta kumchukia ila moyoni wanamkubali sana

Pheeepheeeewwwwww
 
Diamond anatafutwa na warembo kama hela inavyotafutwa. So ni kweli hajawahi kutongozwa, ila anatongozwa sana tu
 
Hivi huyu kijana hajaukwaa tu? Inawezekana ni kweli hakuna ukimwi
 
Dai ni mtoto wa Kigoma, huenda atakuwa na ule mzizi wa kwao wa kuvuta wasichana au la wanawake wenyewe wanajipelek kwake ili status yao iwe juu kwa kuzungumzwa na watu mitaani. Wanawake wana akili za hajabu sana. Siwaelewi wana akili gani, yaani mtu unaona ujiko kuchafuliwa mavuzi ili utajwe mitandaoni? Mtu umeshajuwa jamaa yuko ana demu, wewe msichana unajipeleka ili upigwe miti, ni akili kweli hii? Binafsi nina amini kuwa kweli Dai hatongozi ila wanawake wasiojitambua hapa Bongo ndiyo wanajipeleka wenyewe.
 
amdanganye tukinao hukohuko chumbani akisema adharani ni kituko lol
 
Mnasahau mwaka 2010 Dai alivyokuwa anahangaika kwa wanawake kiasi walizungushana na binti mmoja. Dai akidai ametembea naye wakati binti akikanusha!
 
Mkuu siishi nao hata kama wananyonyesha hawawezi kunyonyeshea insta
Nina maana ntu akiwa ameasirika haruhusiwi kunyonyesha ili asije ambukiza mutoto! Kwa hiyo majibu ya swali lako tunaweza kuyapata kwa kuona Mzazi hanyonyeshi! Fanya utafiti angalau kwa mobeto tutajua kama jamaa ni mzima au kama pretty kind alivyohypothesize kuwa asilimia kubwa ya mastaa TZ tayari
 
Nilikuelewa toka mwanzo ila wewe umejuaje kama hawanyonyeshi?
 
Reactions: BAK
Yeah! Wakikuona DP vyupi vyao vinakosa uvumilivu hivyo kuvuka vyenyewe nawe ukafanya yako.

 
Dah,Throw back nzuri.Nick canon akatoka na kale kamchezo mpaka kuja kudate na fan wake mariah carey
 
Oh tumegongana kipofu kwa kipofu, hata mie nilifikiri unaweza kujua maana nyie ni maborn town! Plan B ni kuwa tuwaulize akina Numbisa au Sky Eclat au Shunie au espy au ......
Usidanganyike mkuu , siku hizi kuna ARV's ambazo wamama wanazitumia wakati wananyinyesha. Kwa hili la sukari ya warembo hata mimi sifahamu
 
Ana mtoto lakin kumtenga huko kubaya vingine kama mwanaume ni kukaa kimya tu akikuwa mtoto wake yule atajisikiaje kwa hayo manyanyaso? wengi tunachakaza mademu bila kupiga saund ila kujisifia ni mwiko.
Sasa kajisifu vipi wakati kajibu swali aliloulizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…