BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Huo Ndio uanaume wenyewe, hata ukikutwa kitandanii Mwambie Ilikuwa haijaingia bado, mwisho wa Cku mkeo atakuamini tu!kwa sisi wahenga ambao tunaenda club zinazopiga oldies, kuna ngoma ya Shaggy inaitwa it was not me, Hahahaha! ukiwa Player hata ukikutwa eneo la tukio unatakiwa kukataa kwamba huhusiki[emoji63]
Akikuta imeingia Mwambie ulikuwa unabakwa na Huyo mwanamke[emoji6]