Diamond Platnumz: Tangu niwe na Zari sijatongoza msichana mwingine

kwa sisi wahenga ambao tunaenda club zinazopiga oldies, kuna ngoma ya Shaggy inaitwa it was not me, Hahahaha! ukiwa Player hata ukikutwa eneo la tukio unatakiwa kukataa kwamba huhusiki[emoji63]
Huo Ndio uanaume wenyewe, hata ukikutwa kitandanii Mwambie Ilikuwa haijaingia bado, mwisho wa Cku mkeo atakuamini tu!

Akikuta imeingia Mwambie ulikuwa unabakwa na Huyo mwanamke[emoji6]
 
Usidanganyike mkuu , siku hizi kuna ARV's ambazo wamama wanazitumia wakati wananyinyesha. Kwa hili la sukari ya warembo hata mimi sifahamu
Hivi mtu unaweza kurisk hivyo? Kwani unaweza kuta ni ARV za Madavida
 
Ana mtoto lakin kumtenga huko kubaya vingine kama mwanaume ni kukaa kimya tu akikuwa mtoto wake yule atajisikiaje kwa hayo manyanyaso? wengi tunachakaza mademu bila kupiga saund ila kujisifia ni mwiko.
Una uhakika amemtenga?Maisha ya Diamond unayajua zaidi ya kumuona insta?
 
amdanganye tukinao hukohuko chumbani akisema adharani ni kituko lol
Hakuna kituko hapo mana ndo ukweli na kishausema!!! Tena kausema 'internationally', hahahaaaa, inauma nyie acheni tu!!
 
Mi siyajui unayajua wewe tuambie sasa unaelala nae sisi wa insta tuyajue zaidi
Mbona unamhukumu kama huyajui? Hizo ni tabia za kike wanaotafuta maisha kwa kujilengesha ili apigwe mimba kama na wewe unataka kupigwa mimba shauri yako...[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
kwa sisi wahenga ambao tunaenda club zinazopiga oldies, kuna ngoma ya Shaggy inaitwa it was not me, Hahahaha! ukiwa Player hata ukikutwa eneo la tukio unatakiwa kukataa kwamba huhusiki[emoji63]
she caught me on camera (wasnt me)
banging all over the sofa (wasnt me)

ndio uwanaume huo hata akikukuta chumbani baadae unamkana sio ww labda ulikutana na jini
 
Ana mtoto lakin kumtenga huko kubaya vingine kama mwanaume ni kukaa kimya tu akikuwa mtoto wake yule atajisikiaje kwa hayo manyanyaso? wengi tunachakaza mademu bila kupiga saund ila kujisifia ni mwiko.
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu...huyu jamaa alishakataliwa na baba yake mzazi sasa dhambi ile bado inaendelea kuutafuna uzao wake.
Isingekuwa umaarufu na watu kupiga kelele basi kwa 100% Diamond angemkataa yule mtoto wa Hamisa, hata hivyo akikua hatokuja kuelewana na baba yake wala ndugu zake watoto wa Zali.
 
Hapo kuna tafsiri mbili, moja alikuwa nao hao wasichana hivyo hata baada ya kuwa na Zari ameendelea kuwa nao, tafsiri ya pili hatongozi Bali anachukua tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…