diamond platnumz;tarehe 19 are you invited?

diamond platnumz;tarehe 19 are you invited?

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
imebaki siku moja ile siku iliyosubiliwa na wengi kuwadia.
Siku ya uzinduzi wa video mpya na ya kimataifa kutoka kwa CEO wa WCB Diamond platnumz.
Uzinduzi utafanyiaka ndani ya hotel ya Serena kiingilio kikiwa ni bure but kwa watakao alikwa pekee
Ahsanteni.
Heaven on desert
WCB COMPANY.
 
i don't like diamond and his type of music but off-course i got an invitation and i will be there
 
heaven on desert mwambie diamond atoe mwaliko kwa fan wake mmoja wa hapa jamii forums.
Na huyo fan niwe mimi lol.
Mwambie Diamond asiponialika naenda kwa mama yake bi sandra kumsemea lol.
 
Last edited by a moderator:
heaven on desert mwambie diamond atoe mwaliko kwa fan wake mmoja wa hapa jamii forums.
Na huyo fan niwe mimi lol.
Mwambie Diamond asiponialika naenda kwa mama yake bi sandra kumsemea lol.

ha h ha hata hatembeleag jf masikin so hakuna amjuae..then hili ni tukio la uzinduzi wa video yake na wamealikwa watu maalum tu so usijali subiri tu kioo kiwe hewani mkione siyo lazima muwepo wote
 
Last edited by a moderator:
imebaki siku moja ile siku iliyosubiliwa na wengi kuwadia.
Siku ya uzinduzi wa video mpya na ya kimataifa kutoka kwa CEO wa WCB Diamond platnumz.
Uzinduzi utafanyiaka ndani ya hotel ya Serena kiingilio kikiwa ni bure but kwa watakao alikwa pekee
Ahsanteni.
Heaven on desert
WCB COMPANY.
heaven on desert diamonds rocks all the way, kijana anajituma ni haki atengeneze video ya namna hyo.
#platinumz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom