Diamond Platnumz, tusamehe Watanzania tumezoea kuitwa 'Kichwa cha mwendawazimu'

Angekua Alikiba ndo yupi level aliyopo Diamond yeye pia angerushiwa makopo, ikionyesha dhahiri kwamba Watanzania hatuna mioyo ya kusupport vilivyo vyetu. Huu ni unafki, Uzandiki, Roho mbaya, ufukara wa mawazo chanya pamoja na uvivu wa kufkiri. Diamond is still our very own and a shining star in the total darkness.
 
pride one
 
Mwisho wakiona hajari kabisa ujinga wao,wana upuuzi wao wa mwisho,utasikia Diamond ni Freemason huo ujinga kabisa......nyambafu......!!!
 
dymond yupo juu sana kuliko kiba

dymond kinachomharibia ni nyodo na dharau ndio maana vijana wa kkoo hawamtaki.

ukisema wahuni wamekodiwa nakataa, kwa hela gani aliyonayo kiba mpaka aweze kukodi umma????

dymond ndiye mchawi anayejiloga mwenyewe.

viva dymond ila punguza kidogo kujiskia
 
Back
Top Bottom