pride oneAngekua Alikiba ndo yupi level aliyopo Diamond yeye pia angerushiwa makopo, ikionyesha dhahiri kwamba Watanzania hatuna mioyo ya kusupport vilivyo vyetu. Huu ni unafki, Uzandiki, Roho mbaya, ufukara wa mawazo chanya pamoja na uvivu wa kufkiri. Diamond is still our very own and a shining star in the total darkness.
tuanza kupenda wasanii wetu wa tz..i meant