Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Eti eenh?Kuna ka ukweli
š¤ÆKuna ka ukweli
Eti eenh?
+ Lbl , Joyce Mbaga, Mitume na Manabii wa mchongo na MachawaEe si umeona 5imba walivyokimbia mechi,pesa ya viingilio haijarudishwa bonge la faida. Upigaji kila kona
Unaelewa maana ya wakati huu au nifungue darasa la nyakatiAnalombwa na wakongo.Kwamba biashara ni rahisi hivyo sio?kuwa na brand ni vyepesi hivyo kama kutunga mashairi ya katoto nimekapakia mkongo...chibude chibudi.
Hovyo kabisa kama rahisi hizo Dimond karanga na chibu purfume zilipatwa nini?
Nliandika makusudi nikisubiri swali kama hili kutoka kwa mtu kama wewe.Kilichomfanya asiweze au msiweze pamoja na yeye ni kipi? Tofauti ya hiki kipindi cha Samia na nyuma ni nini?Unaelewa maana ya wakati huu au nifungue darasa la nyakati
Unataka tubishane SI ndio hebu nijuze Kigoma unatokea wilaya gn?Nliandika makusudi nikisubiri swali kama hili kutoka kwa mtu kama wewe.Kilichomfanya asiweze au msiweze pamoja na yeye ni kipi? Tofauti ya hiki kipindi cha Samia na nyuma ni nini?
Una biashara kwanza au upo unaongea upumbavu hapa?
Kibondo una swali jingine? Tafuta TIN kwanza ndio uje kuniuliza maswali ya hovyo.Mitaji ipo rehani wewe unasema hiki ndicho kipindi cha biashara sio? Subiri kuimba kupokezana wakati wako ukifika huu ujinga utaachaUnataka tubishane SI ndio hebu nijuze Kigoma unatokea wilaya gn?
Futari ni chakula siyo dini kilaza weweFUTARI IMEKUA KITU CHA KIPUMBAVU CHA KUZUNGUMZIA MAMBO YA KIPUMBAVU, UKRISTO NA UISLAMU DINI GANI INACHEZEWA.?
Hapo nimekuelewa hata kama imeniumašEe si umeona 5imba walivyokimbia mechi,pesa ya viingilio haijarudishwa bonge la faida. Upigaji kila kona