Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
wanafunzo watoto hawajui kiswahili???? ndani ya kenya???? kwani wafikiri huku ni sudan nini? inakaa umedanganywa sana kuhusu kenya. itakuaje habari za saa moja jioni znasomwa kwa kiswahili na stesheni zote za tv nchi nzima kama wakenya hawaelewi kiswahili?this is too much love..
najua niko too emotional.. love kama hii from kids tena nisiowajua nahisi ningetoa machozi ya furaha
diamond yupo levo ya mbali sana kwa wanamuziki watanzania... hii ni zaidi ya mamilion ya youtube viewers..
malaika wanaimba na kucheza kwa furaha nyimbo yake tena kwa kiswahili kizuri. huku wao hawajui kiswahil sahihi.. ila kuimba diamond song hawakosei
wanafunzo watoto hawajui kiswahili???? ndani ya kenya???? kwani wafikiri huku ni sudan nini? inakaa umedanganywa sana kuhusu kenya. itakuaje habari za saa moja jioni znasomwa kwa kiswahili na stesheni zote za tv nchi nzima kama wakenya hawaelewi kiswahili?
Kenyan school kids (especially near urban areas) are always in singing/dancing mode, there is no song they dont know and no dancing style they are not preview to. You can literaly play 100 famouse songs back to back and they will sing and dance to all of themKafrican, i bet Kenyan swahili teachers r finding it easier to teach swahili via Diamond's beats. Ila wasitumie maneno "hakunaga" or "tangia" as not official!
Kiswahili kiliasisiwa Kenya lini na Diamond alianza kuimba lini? Waaandishi tajika kama Ken walibora ambao ni wananchi wazalendao wa Kenya wakiandika riwaya huyo Diamond alikuwa ashaa anza kuimba kweli?. Pia kuna ile Lugha ya mtaa, hapo ndio huwa sheng inatokea sasa. Tukisema 'hakunaga, kujaga, pitiaga' nk. haimaanishi huwa hatuelewe lugha mwafaka ya kutumia.Kafrican, i bet Kenyan swahili teachers r finding it easier to teach swahili via Diamond's beats. Ila wasitumie maneno "hakunaga" or "tangia" as not official!
wacha si tuendelee na propaganda zetu za kuzingua watu