Diamond Platnumz visiting kids at school in Nairobi

Diamond Platnumz visiting kids at school in Nairobi

Hahahaaa... I've enjoyed watching..thanks.. u made my day
 
Dai itabidi awatembelee hawa watoto.. Wanaweza wakazimia
 
this is too much love..

najua niko too emotional.. love kama hii from kids tena nisiowajua nahisi ningetoa machozi ya furaha

diamond yupo levo ya mbali sana kwa wanamuziki watanzania... hii ni zaidi ya mamilion ya youtube viewers..

malaika wanaimba na kucheza kwa furaha nyimbo yake tena kwa kiswahili kizuri. huku wao hawajui kiswahil sahihi.. ila kuimba diamond song hawakosei
 
ila number 1 remix... ndio nyimbo kali kuliko zote kuwahi kuimbwa na msanii wa tanzania.. kuanzia kina njenje enzi hizo mpaka kina lady jaydee na prof jay...

hakuna msanii aliyowai kuimba nyimbo kali na iliyotingisha africa kama number 1 ya diamond platnumz
 
this is too much love..

najua niko too emotional.. love kama hii from kids tena nisiowajua nahisi ningetoa machozi ya furaha

diamond yupo levo ya mbali sana kwa wanamuziki watanzania... hii ni zaidi ya mamilion ya youtube viewers..

malaika wanaimba na kucheza kwa furaha nyimbo yake tena kwa kiswahili kizuri. huku wao hawajui kiswahil sahihi.. ila kuimba diamond song hawakosei
wanafunzo watoto hawajui kiswahili???? ndani ya kenya???? kwani wafikiri huku ni sudan nini? inakaa umedanganywa sana kuhusu kenya. itakuaje habari za saa moja jioni znasomwa kwa kiswahili na stesheni zote za tv nchi nzima kama wakenya hawaelewi kiswahili?
 
Kafrican, i bet Kenyan swahili teachers r finding it easier to teach swahili via Diamond's beats. Ila wasitumie maneno "hakunaga" or "tangia" as not official!
 
Haha. Usimlaumu mzee; tatizo ni kuwa wengi wetu hatupendi kufanya utafiti kuhusu mambo ya elimu na kwa hivyo mtu huyarudia tu yale ambayo ameskia au kusoma mtandaoni. Wacha tusherehekee diamond leo ubishi baadaye.
 
Kafrican, i bet Kenyan swahili teachers r finding it easier to teach swahili via Diamond's beats. Ila wasitumie maneno "hakunaga" or "tangia" as not official!
Kenyan school kids (especially near urban areas) are always in singing/dancing mode, there is no song they dont know and no dancing style they are not preview to. You can literaly play 100 famouse songs back to back and they will sing and dance to all of them
 
Kafrican, i bet Kenyan swahili teachers r finding it easier to teach swahili via Diamond's beats. Ila wasitumie maneno "hakunaga" or "tangia" as not official!
Kiswahili kiliasisiwa Kenya lini na Diamond alianza kuimba lini? Waaandishi tajika kama Ken walibora ambao ni wananchi wazalendao wa Kenya wakiandika riwaya huyo Diamond alikuwa ashaa anza kuimba kweli?. Pia kuna ile Lugha ya mtaa, hapo ndio huwa sheng inatokea sasa. Tukisema 'hakunaga, kujaga, pitiaga' nk. haimaanishi huwa hatuelewe lugha mwafaka ya kutumia.
 
tatizo alikiba anaimba nyimbo ngumu sana watoto kuzishika.. na hata style zake za kucheza ni ngumu sana watoto kuziiga.. ndio maana anaachwa nyuma na mshindan wake
 
Back
Top Bottom