Kumbe diamond anajichubua? Angalia miguu yake na sura yake vilivyotofautiana wakati kila siku amevaa suruali.Kwa wale wapenzi wa burudani watakuwa sio wageni na pichaa hii ya fiesta morogoro 2012 ilisambaa sana kwenye mitandao sema wengi mlikuwa primary
Huyu ni nani mkuuPamoja na kwamba ni uzazi lakini mhhh kabadilika sana.
View attachment 674478
Keshatafuna[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Wee koma alikuwa primary shangazi yakoKwa wale wapenzi wa burudani watakuwa sio wageni na pichaa hii ya fiesta morogoro 2012 ilisambaa sana kwenye mitandao sema wengi mlikuwa primary
One husband mkuu, haaaa moja ya kitabu changu bora kabisaThree suitor