Kumbe diamond anajichubua? Angalia miguu yake na sura yake vilivyotofautiana wakati kila siku amevaa suruali.Kwa wale wapenzi wa burudani watakuwa sio wageni na pichaa hii ya fiesta morogoro 2012 ilisambaa sana kwenye mitandao sema wengi mlikuwa primary![]()