princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alama yoyote ile maana halisi unaipa wewe,ukweli ni kwamba hakunaga nguvu ya alama ila tafsiri zetu ndivyo mara nyingi huwa za ovyo.666 mnasema ni freemasoni kwa hiyo mimi nikijiandikia alama hiyo kwenye duka langu mtasema freemason.inaitwa nguvu ya imani imani bwana acha tuImeisha iyo dingiii.
Uzi tayari.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Imeisha iyo dingiii.
Uzi tayari.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Aaaah hapo Kwerekweche Bablai,,Thanks kwa Shule.Alama ina wakilisha W,tupac alikuwa anaitumia kuwakilisha West side na Diamond W inawakilisha Wasafi.View attachment 1172135View attachment 1172136View attachment 1172137
Kwenye Avatar yako nawewe mamalai ulikua umeweka iyo alama ila saiv umebadilisha.!!Anyways ni sawa nimekumanya,Swali langu nilkua najiuliza mbona anapendaga ku'show that sign most of the time??Chalii unayumba. Alama ya kwanza kufanya hvo vidole (kishule shule) ilikuwa tunaifanya kama kumfunga mtu ajisahau. Nikimaanisha kwamba, kama Leo nmechelewa / sikufanya exercise fulani basi nikifanya hivo ticher wa hilo somo atasahau kunitia stick / kunikagua. Kwenye hiace ukifanya hivo konda atasahau kukudai nauli.
Hivi ni kweli maana Mama mwenye Nyumba ananidai Moneygram zake,So nikimwonesha iyo Sign ntamfunga asinidai et eeh??Chalii unayumba. Alama ya kwanza kufanya hvo vidole (kishule shule) ilikuwa tunaifanya kama kumfunga mtu ajisahau. Nikimaanisha kwamba, kama Leo nmechelewa / sikufanya exercise fulani basi nikifanya hivo ticher wa hilo somo atasahau kunitia stick / kunikagua. Kwenye hiace ukifanya hivo konda atasahau kukudai nauli.
Ndoivo BoykaHizo ishara ningezionesha mimi wadau wangesizi, ila kaonesha diamond ambaye ni star watasema tu jamaa ni agent wa illuminant
Me niliweka lini jamani?Kwenye Avatar yako nawewe mamalai ulikua umeweka iyo alama ila saiv umebadilisha.!!Anyways ni sawa nimekumanya,Swali langu nilkua najiuliza mbona anapendaga ku'show that sign most of the time??
Hahaha ndioHivi ni kweli maana Mama mwenye Nyumba ananidai Moneygram zake,So nikimwonesha iyo Sign ntamfunga asinidai et eeh??
Haka kalikuwa katabia kangu shule ya msingi ilikuwa kuna mti mkubwa sana shule yetu ilikuwa na uzio hakuna habari ya kuhesabu namba.Chalii unayumba.
Alama ya kwanza kufanya hvo vidole (kishule shule) ilikuwa tunaifanya kama kumfunga mtu ajisahau. Nikimaanisha kwamba, kama Leo nmechelewa / sikufanya exercise fulani basi nikifanya hivo ticher wa hilo somo atasahau kunitia stick / kunikagua.
Kwenye hiace ukifanya hivo konda atasahau kukudai nauli.
Hahaaa mambo ya imani muda mwingine yanaenda ndivyo sivyoHaka kalikuwa katabia kangu shule ya msingi ilikuwa kuna mti mkubwa sana shule yetu ilikuwa na uzio hakuna habari ya kuhesabu namba.
.
Sasa huo mti ndio ulikuwa uchawi wetu yani unatafuta tawi liliokaa kama kipago cha manati unachana mpaka mwisho ukikatika tu vibaya basi kichapo utakacho kwenda kukutana nacho utakisimlia na iliwahi kufanya kazi siku moja lakini zingine zote nilikuwa nachana vizuri ila kichapo kiko palepale 😂😂
Kweli mlikuwa bizeTuko bize na wiki ya mwananchi.
Si ivo vidole kwenye avatar yako hii!!Me niliweka lini jamani?
Maybe ni pose zake tu, i can't judge