Diamond Platunumz kuliamsha dude kesho

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Haya haya....Hajawahi kuniangusha Diamond Platnumza kwa kila ngoma mpya ambayo huwa anaitoa! Pamoja na kuwa huwa zinapigwa vita sana lakini huendelea kutamba kadri siku zinavyo kwenda! Kama kawaida yake wimbo huwa kama haueleweki mwanzoni lakini mwishowe utaona kila mtu ana uimba either kwa kupenda au kuto kupenda

Najua Baada ya Diamond Kesho kuliamsha Dude basi Na wengine Watafuata siku kadhaa mbele kuachia Nyimbo zao! Makinikia yamepita,Bashite amepita,Roma Nafundisha primary sasa ni wakati wa Ngoma nzuri!!

Diamond kamshirikisha nani...?? Kaimba na nini? Wapi? Kideo Vipi mamboa yote ni kesho

Kifupi Kesho Diamond platnumz Analiamsha Dude!
 
Leo kabla jua halijazama inabidi atengeneze kiki moja matata sana ili kesho heka heka ziongezeke maana hakuna namna.
 
Leo kabla jua halijazama inabidi atengeneze kiki moja matata sana ili kesho heka heka ziongezeke maana hakuna namna.
Kiki Mara ngp mkuu, umesahau ya zari aliyoyafanya baada ya msiba wa Ivan .zile picture kwenye swimming pool na jamaa mungine [emoji1]
 
Mondii mnyamaa .... Ngoja nakale ka alikiba sijui ata lako wapi nako kaige c kalikuwa kanasubili mwenzake aanze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…