Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait kesho ifikesource ya taarifa....sio kutoa attention kwa watu bila ushahidi...
Haya haya....Hajawahi kuniangusha Diamond Platnumza kwa kila ngoma mpya ambayo huwa anaitoa! Pamoja na kuwa huwa zinapigwa vita sana lakini huendelea kutamba kadri siku zinavyo kwenda! Kama kawaida yake wimbo huwa kama haueleweki mwanzoni lakini mwishowe utaona kila mtu ana uimba either kwa kupenda au kuto kupenda
Najua Baada ya Diamond Kesho kuliamsha Dude basi Na wengine Watafuata siku kadhaa mbele kuachia Nyimbo zao! Makinikia yamepita,Bashite amepita,Roma Nafundisha primary sasa ni wakati wa Ngoma nzuri!!
Diamond kamshirikisha nani...?? Kaimba na nini? Wapi? Kideo Vipi mamboa yote ni kesho
Kifupi Kesho Diamond platnumz Analiamsha Dude!