Diamond Platunumz kuliamsha dude kesho

Asa dude likiamka we si ndio utakua wa kwanza kulilaza au
 
Nilizani analiamsha DUDE kweli kwa kuhama chama cha kijani na njano....kumbe bado anaamsha viuno vyake
 
Tangu meneja wa Diamond amzimie mic kule Mombasa, Ali kiba bado ana majonzi. Swali lake bado hajajibiwa, meneja wa Diamond alifuata nini kule?
 
Wacha kijana atafute ridhiki ,

Fanya yako chibu
 
chibuuuuuuuuuuuuuu Ni bonge moja la ngoma huyu ndo chibu tuliemzoe kwenye nyimbo za kulalamika Wadau ni bonge moja la ngoma najua litatikisa Africa nzima
 
source ya taarifa....sio kutoa attention kwa watu bila ushahidi...
 
Lakini mbona mnatuonea hivi?
Wakati wa vyeti vya Bashite huyu huyu CHIBUPAFYUM Alitoa dude mara anasema ACHA AKAE KIMYA MAMA KAMWAMBIA, tukashtukia Vyeti vinaachwa hivi hivi
Leo hii Tumehaidiwa NOAH toka magogoni ati ANA AMSHA DUDE? Bora tuu lidude lilale hadi tupewe Makinikia zetu.
Mi akipost Mange kimambi ndo nitaamini.
 
Nipo hapa nimeshaweka clouds FM kuanzia sasa hivi mpaka baadae kwenye xxl
 


Hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…