So what????
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.
ushaur wako mzuri saana ataupataHofu yangu isije ikapotea kama zinavyopoteaga zingine, diamond baba jifunze basi kutu hit na suprise, jaman mwanaume ww siombei baya ila WAT IF mkaachana na Zari b4 "mtoto" hajazaliwa?? Utaenda tena global kumsema alichoropoa?? Mwanaume anatakia awe na hiki kijiformula LESS TALK MORE ACTION ila we bwana mkubwa ni viceversa
ntakupm mamy usijali nimekupata vyemahehehee safi sana loveleen huo ndo umbea tunaoutaka umbea wenye uthibitisho kamili
kazi nzuri loveleen Diamond big up
maana mama wa watoto wa3 lakin bado mbichiiiiiii ka ajazaa vile sasa anatuzalia mingine kwa Diamond mtoto wa 4 huyu huyu domo atulie sasa
alaf nimeskia kua mumewe zari anatangaza vita na Diamond na atahakikisha hazai nae kama una information zilizothibitishwa tumwagie twafwadhwali......ila diamond kacheza pazito anadiriki kudate na muke ya pedeshee mukubwa namna hii??????? Na mimba juu????? hmm aya ngoja tuendelee kutizama
Ebo!!!!, mimba hutangazwa!!!!?
So what????
Sawa.....
Ashaitia nuksi, Domo mi shabiki wako lakini kwa hili kidogo umeteleza!!! Hakuna mchawi mbaya kama midomo ya watu
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.
Baada ya watu kuishiwa hoja humu jamvini wengine hawakuwa na la maana la kuongea zaidi ya "ugumba wa Diamond"... hata pale tulipowauliza watupe ushahidi kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba, hawakuwa nao!! Sasa ikiwa watu mnashinda mitandaoni kujaza posts kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba itakuwa nini hiyo kama sio kufurahia!!! Anyway, all the best... Mungu ndie mpaji lakini wale wote waliokuwa wakimcheka niliwahi kuwauliza hapa wanitajie hao mademu wa Diamond wa zamani wameacha mimba ngapi huko walikotoka ili tuthibitishe kwamba tatizo ni Diamond... si Penny wala Wema Sepetu achilia mbali show time ya Jokate na akina Wolper!umeongea vema mkuu ila sidhan kama kuna mtu anaye shadadia ugumba wa mwenzie after all sote ni wanawake.....Hii ni katika kupashana habari tu......huwez furahia baya la mwenzio cz hakuna msafi ata mmoja kila mja ni mtenda dhambi na mja mzuri ni yule alie mwepesi katika kutubia. ....umeongea vizur
Ubarikiwe Mkuu
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.
pamoja sana mkuuBaada ya watu kuishiwa hoja humu jamvini wengine hawakuwa na la maana la kuongea zaidi ya "ugumba wa Diamond"... hata pale tulipowauliza watupe ushahidi kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba, hawakuwa nao!! Sasa ikiwa watu mnashinda mitandaoni kujaza posts kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba itakuwa nini hiyo kama sio kufurahia!!! Anyway, all the best... Mungu ndie mpaji lakini wale wote waliokuwa wakimcheka niliwahi kuwauliza hapa wanitajie hao mademu wa Diamond wa zamani wameacha mimba ngapi huko walikotoka ili tuthibitishe kwamba tatizo ni Diamond... si Penny wala Wema Sepetu achilia mbali show time ya Jokate na akina Wolper!