Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

loveleen

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
428
Reaction score
113
Najua mlinimiss sanaa polen kwa kunimiss sasa leo naja na hii ambayo tayar ishakua Confirmed

Baada ya Zari kutua Dar takribani week sasa akionekana na mizunguko ya pamoja na mpenzie Diamond......

Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu, Jionee hapo chini kwa maneno ya Diamond mwenyewe.

Wale Haters ndimu zipo (anakwambia kileeeee kinaanza kumuharibia mtu mawazi.

attachment.php
 
Attachments

  • mimba zari.png
    mimba zari.png
    93.1 KB · Views: 7,465
hehehee safi sana loveleen huo ndo umbea tunaoutaka umbea wenye uthibitisho kamili
kazi nzuri loveleen Diamond big up
maana mama wa watoto wa3 lakin bado mbichiiiiiii ka ajazaa vile sasa anatuzalia mingine kwa Diamond mtoto wa 4 huyu huyu domo atulie sasa

alaf nimeskia kua mumewe zari anatangaza vita na Diamond na atahakikisha hazai nae kama una information zilizothibitishwa tumwagie twafwadhwali......ila diamond kacheza pazito anadiriki kudate na muke ya pedeshee mukubwa namna hii??????? Na mimba juu????? hmm aya ngoja tuendelee kutizama
 
Last edited by a moderator:
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.
 
Hofu yangu isije ikapotea kama zinavyopoteaga zingine, diamond baba jifunze basi kutu hit na suprise, jaman mwanaume ww siombei baya ila WAT IF mkaachana na Zari b4 "mtoto" hajazaliwa?? Utaenda tena global kumsema alichoropoa?? Mwanaume anatakia awe na hiki kijiformula LESS TALK MORE ACTION ila we bwana mkubwa ni viceversa
 
umeongea vema mkuu ila sidhan kama kuna mtu anaye shadadia ugumba wa mwenzie after all sote ni wanawake.....Hii ni katika kupashana habari tu......huwez furahia baya la mwenzio cz hakuna msafi ata mmoja kila mja ni mtenda dhambi na mja mzuri ni yule alie mwepesi katika kutubia. ....umeongea vizur
Ubarikiwe Mkuu
 
ushaur wako mzuri saana ataupata
 
hehehee safi sana loveleen huo ndo umbea tunaoutaka umbea wenye uthibitisho kamili
kazi nzuri loveleen Diamond big up
maana mama wa watoto wa3 lakin bado mbichiiiiiii ka ajazaa vile sasa anatuzalia mingine kwa Diamond mtoto wa 4 huyu huyu domo atulie sasa

alaf nimeskia kua mumewe zari anatangaza vita na Diamond na atahakikisha hazai nae kama una information zilizothibitishwa tumwagie twafwadhwali......ila diamond kacheza pazito anadiriki kudate na muke ya pedeshee mukubwa namna hii??????? Na mimba juu????? hmm aya ngoja tuendelee kutizama
ntakupm mamy usijali nimekupata vyema
maana mengine ni siri za kambi
 
Last edited by a moderator:
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.

Mkuu with all due respect naanza kuhisi Diamond ana tatizo linalomtesa ni bora kukaa kimya Mungu kama kakupangia kitu hakuna binadamu wa kupangua.

Yeye ndio aliimba siwezi kung'ang'ania kama siyo fungu langu.

Haya mambo yaone hivi hivi wanazaa kila siku wanawake na wanaume ambao hata pesa ya tax kuwapeleka kujifunguwa hawana.

Dogo anachemka sana kwenye hili, kama ana matatizo kweli mbona yanatibika tu?
 
umeongea vema mkuu ila sidhan kama kuna mtu anaye shadadia ugumba wa mwenzie after all sote ni wanawake.....Hii ni katika kupashana habari tu......huwez furahia baya la mwenzio cz hakuna msafi ata mmoja kila mja ni mtenda dhambi na mja mzuri ni yule alie mwepesi katika kutubia. ....umeongea vizur
Ubarikiwe Mkuu
Baada ya watu kuishiwa hoja humu jamvini wengine hawakuwa na la maana la kuongea zaidi ya "ugumba wa Diamond"... hata pale tulipowauliza watupe ushahidi kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba, hawakuwa nao!! Sasa ikiwa watu mnashinda mitandaoni kujaza posts kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba itakuwa nini hiyo kama sio kufurahia!!! Anyway, all the best... Mungu ndie mpaji lakini wale wote waliokuwa wakimcheka niliwahi kuwauliza hapa wanitajie hao mademu wa Diamond wa zamani wameacha mimba ngapi huko walikotoka ili tuthibitishe kwamba tatizo ni Diamond... si Penny wala Wema Sepetu achilia mbali show time ya Jokate na akina Wolper!
 
Anayeshadidia ama kufurahia ugumba wa mwenzake, iwe kweli ni ugumba au vinginevyo, huyo mtu huwezi kumuita hater bali ni mpumbavu mwenye roho ya kichawi. Mtu unaweza kuwa na chuki lakini bado unaweza usifurahie madhira ambayo mpaji ni Mwenyezi Mungu. Ni Mungu huyu huyu ndie kampa A kuwa na uwezo wa kuzalisha na kumnyima B huku huyo A akiwa hajalipia hata senti moja kuwa na uwezo wa kuzalisha na B akiwa hajafanya dhambi yoyote ambayo haijawahi fanywa na mwanadamau hadi akakosa uwezo huo.

msiwe wepes katika kuhukumu watu na ku jump into a conclusion utadhania ww ni msafi au si mtenda maasia mtoa mada kaeleza habar kama ilivyo na maneno ya Diamond mwenyewe yame onekana dhahiri shahiri sasa huo ushadadi wake uko wap???????? hajaongeza chumvi yoyote ile na kila mmoja kaona diamond mwenyewe kwenye kurasa yake alivyotangaza kua kitu kileeeeee kimeshaanza kumuharibia mtu mavazi sasa hayo maneno mengine ya kumkashifu mtoa mada yanatokeA wapi?????? Ni vema tukawa wastaarabu ata kama tumeguswa kwa namna yoyote ile
hakuna mkamilifu chini ya jua kama uliona kateleza mtoa mada ungeweka fact na kumkumbusha na sio kumuita mtu mchawi na kumtolea maneno ya kashfa yasofaa angalia umemkashifu lakin yeye ameku quote kwa maneno mapole yenye hekma mpaka umejiskia vibaya hatuishi ivyo jaman ww nan mpaka umuite mwenzio mchawi una usafi gan ww?????? alie bora mbele ya Mwenyez Mungu ni MCHAMUNGU TU

Kuliko kutukanana na kukashfiana ni vema tuka kumbushana tu
 
Baada ya watu kuishiwa hoja humu jamvini wengine hawakuwa na la maana la kuongea zaidi ya "ugumba wa Diamond"... hata pale tulipowauliza watupe ushahidi kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba, hawakuwa nao!! Sasa ikiwa watu mnashinda mitandaoni kujaza posts kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba itakuwa nini hiyo kama sio kufurahia!!! Anyway, all the best... Mungu ndie mpaji lakini wale wote waliokuwa wakimcheka niliwahi kuwauliza hapa wanitajie hao mademu wa Diamond wa zamani wameacha mimba ngapi huko walikotoka ili tuthibitishe kwamba tatizo ni Diamond... si Penny wala Wema Sepetu achilia mbali show time ya Jokate na akina Wolper!
pamoja sana mkuu
peace and love!
 
Back
Top Bottom