Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

nikwel mimba zina mengi sana ila chibu furaha ndo imemfanya afunguke anakua kama haamini vile

kabisa tena.
Nlikuwa excited too ila too bad i lost the baby.
Ndo maana naona umuhimu wa kuliweka liwe kimya.
I thank God sikuliweka wazi teh teh
 
kabisa tena.
Nlikuwa excited too ila too bad i lost the baby.
Ndo maana naona umuhimu wa kuliweka liwe kimya.
I thank God sikuliweka wazi teh teh

oh so sorry for the lost jaman
 
Mie ningepata mguu wa Zari,wana JF mngenikoma 😆😆😆😆😆😆😆too bad nimepata miguu ya kikyekue...
 
Jana Diamond Plutnumz na mpenzie wake Zari thebosslady wamepost picha ya watoto wawili mmoja wakike na mwingine wa kiume wote wakiwa wameandika A au B badala ya wao wenyewe kulumbana sana....Diamond anataka B na Zari kwakua anao B watatu anataka iwe A

Embu chek Plutnumz alivyoandika kua amechoka mabishano kwaiyo anataka mashabiki wapige kura kua Mimba ya Zari itakuja na katoto ka kike au ka kiume??

Lol tazama chini hapo👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • 1423200983598.jpg
    70.9 KB · Views: 354
Heheheeeee Diamond bado haamini lol......na limovie LIENDELEE
 
Huyu mtoto ni mjinga sana sijawahi kuona.
 
This is a stunt I tell you, hamna mimba wala nini. Wanacheza na akili zenu, they want to make headlines.
 
Huyu mtoto ni mjinga sana sijawahi kuona.

yaani sijui kwann anakua desperate kiasi icho.....huenda ikawa ni sehem ya biashara pia katika kuteka mind's za mashabiki wao na kujiongezea umaarufu
 
yaani sijui kwann anakua desperate kiasi icho.....huenda ikawa ni sehem ya biashara pia katika kuteka mind's za mashabiki wao na kujiongezea umaarufu

Sasa naweza kuamini bila shaka yoyote Huyu mtoto hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke.
 
Huyu mtoto ni mjinga sana sijawahi kuona.

kama zari ana mimba ya diamond kweli basi diamond ajiandae kutulia.....huyo si wema na penny. wakiachana lazma wagawane kila kitu ......ohoooo aulize ex husband wa zari alifanywa nini
 
kama zari ana mimba ya diamond kweli basi diamond ajiandae kutulia.....huyo si wema na penny. wakiachana lazma wagawane kila kitu ......ohoooo aulize ex husband wa zari alifanywa nini

Diamond anamali gani? Naomba unielimishe. Au tuzo na album?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…