Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

hujanielewa ila utakuja kunielewa nilichokuwa namaanisha........kwa kukusaidia tu!game lao lina washiriki wakuu wanne ambao ni wema sepetu,diamond,ivan,king lawrence na washiriki wadogo dogo kina babu tale na rommy jones!.....dhamira ya game hilo ni kusaka umaarufu sambamba na pesa!wivu na visasi vya mapenzi.........suala la mimba kuwa kweli au uwongo nikilizungumzia ntakuwa mnafiki!kama ni kweli basi ni yake diamond kwani kitanda hakizai haramu ila narudia tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda

Hahahah Lawrence humu kwenye game hayupo ni kama mpambe tu wa Ivan ila no more games wao wahusika diamond na zari ndio wajuao nn wanafanya na siku zote ukweli wa mtoto kua baba ake halisi ni yupi anaujua mama tu mengine yatabaki kua maneno tu
 
mkuu umeenda mbali sana!matola ni mwana ambaye ananikubali na mimi namkubali sana!suala la kuanzisha uzi ni utashi wa mtu tu na mimi hizo siyo zangu!sijisifii kwani hamna nikipatacho kujua mambo ya hao unaowaita maceleb ila ingekuwa inalipa trust me hili jukwaa lingejaa habari zilizoanzishwa na mimi ambazo hata kwa shigongo huwezi kuzipata!....kuhusu suala kuwa team flani sijui team flani bado halinizuii kusema ukweli na kama ungekuwa unanifuatilia toka kitambo ungejua!kwa taarifa yako mimi ndo niliwahi kusema ally kiba alizingua kutuvalia moka jukwaani,mimi huyohuyo wayback nilisema ally kiba alivyokuwa kwenye peak alikuwa mjivuni sana kuliko diamond ila kilichomsaidia hakuwa mtu wa media ila wasanii wenzake walikoma,niliwahi kumzungumzia diamond kama, pamoja na yote ila nje ya media dogo ana respect sana!...na hiyo ndo silaha yake kubwa!.....tatizo wabongo wengi ni waoga sana na ndo maana hata zari imekuwa rahisi kupasua anga letu la umaarufu kwa akili yake ndogo aya kiganda aliyotumia!hajatumia nguvu!zari anabenefit sana katika haya mahusiano kuliko diamond!usiniulize kwanini....nahitimisha kwa kusema tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda
Labda niseme hivi... sina tatizo na mtu yeyote kuwa kambi yoyote coz' ndivyo mambo ya burudani yanavyoenda! Hoja yangu ni kwamba, mtu anapochukua upande, anageuka kuwa sio credible source tena! MS, sijaanza kukusoma jana wala leo... zamani, kabla huu upuuzi wa sasa wa watu kugawanyika, ulikuwa na positive na negative comments kwa wote bila kujali kama ni Kiba, Diamond, or else! Lakini watu tulipoanza kugawika, na wewe uka-base upande mmoja zaidi kuliko mwingine, nawe ukachukua side... Si kwamba nina tatizo kwa wewe kuegemea upande mmoja coz' hata mimi ingawaje nilikuwa nashabikia wote, lakini lilipokuja suala la kugawika, nikajikuta nime-base kwa Diamond! Lakini effect ya kuchukua side ndo ile ile... unageuka kuwa not a credible source anymore na ndio maana hata kwenye habari zinazotokea huko duniani, ni kawaida sana kusikia may be mtangazaji akisema "habari kutoka chanzo kisichoegemea upande wowote!"
 
Hapo sasa... inashangaza kuona mwanadamu tena asie karibu na Diamond wala Zari leo anapiga ramli wa kile kitakachotokea....

Ndo ya walimwengu hayo mkuu ila siku zote itabaki pale pale kua hakuna ajuae usiri wa mwanadam yoyote yule isipokua mwanadam mwenyewe na nafsi yake hayo mengine yatabaki kua porojo tu za walimwengu mkuu......Hii movie bado ni ndefu tuendelee kutizama

more episodes are about to come!!!!!!!
 
kuna maneno wema alipewa na the late kanumba kuhusu kushika mimba na kwa watu wake wa karibu najua wanayajua,maneno hayo mpaka leo yanamtesa wema sepetu!....ila acha tuamini anakula ujana ila personally siamini

ipo siku utaamini pale wema atakapojitangaza kua ni mjamzito hajaamua tu kua mama bado ujana unamsumbua sana muda wake ukifika nae atazaa
pamoja saana mkuu
 
...tatizo wabongo wengi ni waoga sana na ndo maana hata zari imekuwa rahisi kupasua anga letu la umaarufu kwa akili yake ndogo aya kiganda aliyotumia!hajatumia nguvu!zari anabenefit sana katika haya mahusiano kuliko diamond!usiniulize kwanini....nahitimisha kwa kusema tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda
Nilisahau kulieleza hili la Zari... labda nikukumbushe jambo moja! Mimi mara zote nimekuwa nikipinga humu jamvini hoja kwamba Diamond anatembelea nyota za mademu lakini mara zote nimekuwa nikitoa mifano hai ya jinsi gani mademu wanavyotembelea vyota ya Diamond! Mtu kama Mennina alikuwa hatajwi tajwi humu JF lakini ulipokuja uzushi wa kutaka kufunga ndoa na Diamond, thread kuhusu Meninna zikawa hazikauki! The same ika-happen kwa mtu kama Hamisa Mobeto ambae ni wachache saba tulikuwa tunamfahamu humu jamvini lakini alipohusishwa na Diamond, ikawa kila wakati anajadiliwa humu! Hata Penny hakuwa maarufu kihivyo humu JF lakini umaarufu wake JF ulipanda baada ya kuwa na Chibu! Jokate nae, ingawaje jina lake ni kubwa tangu zamani lakini alijadiliwa zaidi enzi za uhusiano wake na Chibu! Yule Mellisa, video queen wa Utampata Wapi kuna siku nilitembelea Instagram page yake! Kuna mtu wa huko huko akamuuliza kwanini number ya followers ime-shoot ghafla... huyu demu hakuwa mnafiki, akajibu wazi kwamba imetokana na video aliyocheza as VQ! Juzi tu hapa Rommy Jones amepewa airtime na Flora Show... ukiuliza role ya Rommy ni ipi nchi hii hadi apate airtime sidhani kama kuna jibu la maana... lakini kv tu yupo na Diamond, amekua nae mtu wa kupata airtime!!!!

Zamani wakati natoa mifano hii watu walikuwa wanadharau lakini hivi sasa nadhani wenyewe wanafahamu wapi alipo Wema na wapi alipo Diamond... kwa upande mwingine ni wapi alipo Wema na wapi alipo Zari!!!!

Nimekupa hiyo summary kukuonesha si kwamba anayenufaika kwenye uhusiano wa Diamond ni Zari na sio Diamond bali kukuonesha kwamba ukishakuwa karibu na Diamond, labda uwe mjinga mwenyewe but you can benefit from it! Huyu Wema kama angetumia opportunity ya kuwa karibu na Diamond kwa muda wote alioishi nae, labda hivi sasa angekuwa mbali sana kisanaa lakini akajipweteka tu na kuishia kukatishwa mauno stejini... anakuja kushtuka, too late na watu kuishia kusema, oh, Diamond anatembelea nyota ya Wema!!

Hilo la kwamba kuna game linaendelea... sioni game yoyote lakini sidhani kama kuna haja ya kuendelea nalo coz' time will tell!
 
Hiyo imejazwa na upepo labda ndio maana inaanza kuonekana
 
Magazeti marefu mnooo...all in all kujamba mbele ya diamond ni sawa na kujambia mic diamond jubelee.....hana kifua!
 
Watu myazani nyie hamna wapenzi wenu.

Yanawahuu nini watu wakipendana au mnataka kwenda kusaidia kuwalaza wanapotaka kupimzika.

Mnatia aibu sana, maisha ni yake kutwa stars wa ulaya hata wakiua mnashinda mnasikiliza miziki yao. Hamuongei hata wakikaa u.chi mpo kishabikia.

Zari mwacheni ma mkome kutukana waganda kama wamewazidi nanyi mkajifunze.

Faida sijui nani nani kwani wamewaomba chumvi kupikia?

Watakieni mema, na sio kukaa kuomba mabaya kwa binadamu wenzenu.

Nimeamini ma stress yenu mengi ni mnayatolea kwa wivu kwa wasiowahuuuuuu

Fikirieni kuendelea, thread inakutia kinyaaa sepa unasoma iweje utajiumiza moyo.
 
Mambo ya meselebriti wetu wakati mwingine yanashangaza kidogo. Nafikiri Diamond amekuwa anaumizwa mno kutokuzalisha mwanamke yeyote kati ya aliowahi kutembea nao, na hivyo matokeo ya sasa yanampa nafuu na kumfanya akiuke mambo ya msingi labda kutokana na furaha nyingi aliyo nayo.

Watu wanaojua mechanics za mimba, tulifundishwa kuwa tusinunue mbeleko kabla hatujamwona mtoto. Na vile vile tumeendelea kufundishwa kuwa hata kama kitanda hakizai haramu, siyo kila mimba ya girlfriend wako imetoka kwako. Nimesoma majuzi kuwa kuna jamaa mmoja pale Uganda amelea mtoto kwa miaka saba akaja kugundua siyo wake. Diamond angetulia tu na kuyaacha haya mambo yajipange yenyewe, siyo yeye kuwa anatanguliza matangazo ya picha za ultrasound na kuonyesha ukubwa wa tumbo la mama. Nadhani alianza kutoa matangazo haya siku chache kabla hajaenda Burundi na Rwanda ikiwa ni muda mfupi baada ya kuishi na Zari pale Kampala kwa kusema wasichana wa zamani hawakutaka kumbebea mimba....

Kama baraka ya mtoto imeshika huna haja ya kuitangaza, itajitangaza yenyewe.
 
Haiwezekani ikaanza kuonekana fasta hivyo sio bure
Haaa! Inaanza kuonekana fasta vipi? Kwani wewe unafahamu kama ni mimba, mimba yenyewe imetunga lini?! Na kwa kawaida mimba inaanza kuonekana baada ya muda gani? For what I know, mwingine anaweza kuwa na mimba hata ya miezi 5 na isionekane na mwigine hata ya miezi miwili, hasa akiamua kutaka kuionesha, itaonekana tu! Si unajua zile mimba zenu za kutaka kuwananga wenzenu... wiki tatu tayari mtu anaanza kuvaa ule mgauni sijui mnauitaje sijui... hebu nikumbushe!!!
 
mkuu umeenda mbali sana!matola ni mwana ambaye ananikubali na mimi namkubali sana!suala la kuanzisha uzi ni utashi wa mtu tu na mimi hizo siyo zangu!sijisifii kwani hamna nikipatacho kujua mambo ya hao unaowaita maceleb ila ingekuwa inalipa trust me hili jukwaa lingejaa habari zilizoanzishwa na mimi ambazo hata kwa shigongo huwezi kuzipata!....kuhusu suala kuwa team flani sijui team flani bado halinizuii kusema ukweli na kama ungekuwa unanifuatilia toka kitambo ungejua!kwa taarifa yako mimi ndo niliwahi kusema ally kiba alizingua kutuvalia moka jukwaani,mimi huyohuyo wayback nilisema ally kiba alivyokuwa kwenye peak alikuwa mjivuni sana kuliko diamond ila kilichomsaidia hakuwa mtu wa media ila wasanii wenzake walikoma,niliwahi kumzungumzia diamond kama, pamoja na yote ila nje ya media dogo ana respect sana!...na hiyo ndo silaha yake kubwa!.....tatizo wabongo wengi ni waoga sana na ndo maana hata zari imekuwa rahisi kupasua anga letu la umaarufu kwa akili yake ndogo aya kiganda aliyotumia!hajatumia nguvu!zari anabenefit sana katika haya mahusiano kuliko diamond!usiniulize kwanini....nahitimisha kwa kusema tena hili game walichezalo diamond hawezi kushinda

Kweli kabisa uyasemayo Muuza Sura.Binafsi nilikua sijui uko side gani maana kila nilivyokua nakufuatilia leo unamponda huyu na sumsifia huyu (Kiba & Chibu).
Na...to be honesty,ulinikera sana siku uliyosema Kiba aache kuvaa 'moka' jukwaani abadilike sasa...
Kama sikosei ilikua kwenye ile show ya fiesta.
Ila uko vizuri kiukweli kwa habari (ubuyu) motomoto.Hua sina doubt kabisa na habari zako.
 
Haaa! Inaanza kuonekana fasta vipi? Kwani wewe unafahamu kama ni mimba, mimba yenyewe imetunga lini?! Na kwa kawaida mimba inaanza kuonekana baada ya muda gani? For what I know, mwingine anaweza kuwa na mimba hata ya miezi 5 na isionekane na mwigine hata ya miezi miwili, hasa akiamua kutaka kuionesha, itaonekana tu! Si unajua zile mimba zenu za kutaka kuwananga wenzenu... wiki tatu tayari mtu anaanza kuvaa ule mgauni sijui mnauitaje sijui... hebu nikumbushe!!!

Na ndio maana nikasema hivyo so kama ni mimba kweli haionekani haraka kiivyo labda kama ameweka sponchi
 
Na ndio maana nikasema hivyo so kama ni mimba kweli haionekani haraka kiivyo labda kama ameweka sponchi
Na ndio maana na mimi nikakuuliza wewe unafahamu hiyo mimba imetunga lini hadi useme imeanza kuonekana haraka? And don' forget, habari za project zilianza kusikika early november 2014... almost 3 months ago na hatujui ikiwa ile ilikuwa ni mara yao ya kwanza kweli kukutana or not!
 
Kheee ngachoka
 
Back
Top Bottom