Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

aisee kila siku najifunza kitu kipya....hivi kutangaza mpenzi wako/mkeo ana mimba ni vibaya!!! hivi dunia hii tunayoishi Diamond ndio mtu wa kwanza kutangaza mpenzi wake ana mimba??!!! nimejifunza kitu kipya leo.

hahahaa pamoja mkuu
ndo ivo tena kila mmoja ana uhuru wa kufanya apendacho kikubwa ni kutovunja sheria tu
 
Unless kama anatangaza kwa ajili ya kutaka ku-prove kitu coz' hana sababu ya ku-prove kwa yeyote kwa chochote... it's his life awe ana uwezo wa kumpa mimba mwanamke au hana! Lakini ikiwa ametangaza si kwa ajili ya ku-prove chochote na kwa yeyote, binafsi sioni tatizo lolote... Diamond sio mtu wa kwanza na kamwe hatakuwa mtu wa mwisho kutangaza uja uzito wa mwandani wake! Tatizo hapa ni lile lile... kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!!

Na hili la kutangaza mademu zake mie nampa big up... hataki unafiki wa wengine! Wasanii karibu wote ni malaya mbwa lakini wanataka kujifanya ni watakatifu mbele ya jamii lakini wanakuja kuumbuka baadae! Sioni sababu ni kwanini mtu ufiche mpenzi wako kama si kwamba unataka uwe unapiga show tofauti tofauti at the same time... wasikilize hata wengine wakati wanahojiwa... wakiulizwa wanatoka na nani, hawasemi kwa sababu wanajua wakisema ni kimbembe... huku kuna X, kule Y upande wa pili kuna Z... atamtaja nani!!! Matokeo yake anaishia kusema "nisingependa kumweka mpenzi wangu hadharani" X akisikia hivyo, anadhani ni yeye, hali kadhalika Y nae anadhani ni yeye na hivyo hivyo kwa Z... yaani tafrani mtindo mmoja!!!

pamoja pamoja saana mkuu!!!!!!!!!
 
mi niliaga na walinisindikiza na mdundiko....mchawi mpe mtoto akulelee

Unajuwa ngoja nikueleze kitu Mungu yupo lakini mengine ni utashi wa binadamu,

Binafsi kabla ya kubarikiwa kupata mtoto, mwanamke zilishamtokea misscarry mimba mbili za miezi kadhaa.

Naishia hapo wanawake wakikwambia kitu usiwabeze.
 
atakuja kustuka ivan anachukua mtoto wake hao wanawake sio wa kuamini sana

D.N.A. itachukua nafasi yake mkuu
ila nikiwa kama mwanamke siku zote Sisi wanawake ndio tujuao baba halisi wa mtoto ni nani
 
NasDaz wasome watu waliopo jikoni, bandiko hili limebeba mengi nadhani unamjuwa muuza sura yupo flexible na kwenye maceleb anayajuwa mengi behind the scene.
Tatizo lako Matola unamuona Muuza Sura kama Mungu mtu anayejua kila kitu hapa mjini... kwangu mimi yeye hana tofauti yoyote na wewe au yeyote yule anayependa kuji-mix na ma-celebs... !! Hawa watu wangekuwa wanafahamu undani wa watu kama wanvyotaka tuamini basi wangetuletea Breaking News za Zari na Diamond kabla kila kitu hakijakuwa hadharani... kama unakumbuka, hata wewe mwanzoni kabisa ulikuwa unabisha kwamba Diamond alikuwa anatoka na Zari na hata uliponihoji nami nikasema wazi kwamba hata mimi I doubt coz' for what I know Zari ni mpenda mafoto na celebs... hata hivyo nilihitimisha kwa kukueleza kwamba, kwenye mapenzi, kila kitu kinawezekana!

Kwamba Muuza Sura yupo flexible sio kweli hata kidogo... humu jamvini tayari ameshajitanabahisha kwamba yeye ni Team Kiba! Kwamba eti hiyo game Diamond hawezi kushinda ni sawa na dua la kuku... by the way, tukiuliza ni game lipi Muuza Sura anaweza kutujibu? Au ndo yale yale ya akina Ivan kwamba Diamond kamwe hawezi kuzaa na Zari?? Anyway, hata kama Muuza Sura hapo kabla angeweza kuaminika, alikuja kuharibu pale alipoanza kuchukua upande... angeendelea kubaki neutral basi hoja yako ingekuwa na nguvu sana!!! Lakini yote hayo tuyaache... hivi kabisa ndugu yangu unamaani kwamba huyo Muuza Sura anaweza akawa anafahamu undani wa mimba ya Zari zaidi ya Zari mwenyewe? Let's be serious dude! Huyo MS atakuwa anayafahamu yale tu ambae yeyote anaye-interact na celebs atakuwa anayafahamu lakini usitarajie eti atakuwa anafahamu undani wa mtu kama Zari au Diamond!
 
Unajuwa ngoja nikueleze kitu Mungu yupo lakini mengine ni utashi wa binadamu,

Binafsi kabla ya kubarikiwa kupata mtoto, mwanamke zilishamtokea misscarry mimba mbili za miezi kadhaa.

Naishia hapo wanawake wakikwambia kitu usiwabeze.

kutangaza ni makubaliano ya wahusika wawili.....wakiafikiana hamna shida,mbaya kama mwanamke kasema tusitangaze wewe ukatangaza.....hamna sehemu niliyombeza mtu ila ni ajabu kwa mtu anaeamini Mungu kuwa na imani za kishirikina, analopanga Mungu binadamu hawezi kupangua hii ni kwa wanaoamini Mungu.
 
nikwel mkuu kuna miscarriages nyingi sana zaeza tokea ila kubwa la yote Mungu amuongoze na amjalie alichokibeba tumboni kiwe chenye manufaa na kizaz kilicho chema.....japo haya masuala ya kutangaza tangaza si mazuri kabisa
 
kutangaza ni makubaliano ya wahusika wawili.....wakiafikiana hamna shida,mbaya kama mwanamke kasema tusitangaze wewe ukatangaza.....hamna sehemu niliyombeza mtu ila ni ajabu kwa mtu anaeamini Mungu kuwa na imani za kishirikina, analopanga Mungu binadamu hawezi kupangua hii ni kwa wanaoamini Mungu.

umesomeka mkuu
pamoja
 
Back
Top Bottom