Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kwa sasa umedrop kimuziki unatoa video haingii number one trending.
Diamond ndio bongofleva mkuu.sinza pazuri Msanii wako ameakuaje tena watu wamechoka kusikiliza ngono au ?.
UMEMALIZA✌️Diamond hatumdai kitu kwenye game, haters hamtaki kukubali lakini ukweli mjomba ndio kawaonyesha njia ya kupita wasanii wengine wa hii Africa Mashariki.
Go youtubeKatoa video ya nyimbo Gani kwani?