Diamond: Project 3 kutoka ndani ya hizi wiki mbili huku anaendelea na Awards Season

Hahah sasa iyo ally kiba na juma nature ilo songi litaitwaje "zlipendwa" au wataliita "mtukumbuke na ss"
 
Tatizo la mziki wa tz ukipitwa na wakati huwezi rudi tena kwenye peak balaa lake ni kama kujambiwa na fisi!! kama mnabisha kamuulizeni Mr Bad ni swala la kucheza na wakati kama hukuexploit in terms of monetary compensation ndo basi.
 
Ally Kiba ajishushe tu akubali kuwa yeye si lolote. Anafaidika na bifu la kijinga analolitegemea.
Afanye collabo na diamond ajenge jina...
 

Huyu kijana anakikosha sana mimi mwehh????
 
Haya sasa team njaa kama kawaida, Diamond na team yake ipo njiani sasahivi kuelekea Nigeria kwenye "nana media tour" ambapo atakaa huko kwa takriban wiki moja hadi mbili hivii

😀😀😀 If you are hater please gademu kufwa for our president au mkimbie JF, zile mnzoita mbwembwe, utandale, kujidai, ushamba, kuanzia kesho itakuwa mara buku yake kamaa nawaona vilee hahahaha
 

Attachments

  • 1435505065647.jpg
    25.6 KB · Views: 184
  • 1435505080346.jpg
    28.2 KB · Views: 180
Mbona hata kiba anatoa ngoma kali sana next week aliyomshirikisha juma nature


hahahahahahaha... mbavu zangu
nimeshawishiwa na moyo wangu kukutamkia " l love you"
teh teh
 
nina kila sababu ya ya kujivunia diamond ndani ya nchi yangu..

endelea zaid ya hapo aise.. tupo nyuma yako mashabiki wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…