Diamond: Project 3 kutoka ndani ya hizi wiki mbili huku anaendelea na Awards Season

Diamond: Project 3 kutoka ndani ya hizi wiki mbili huku anaendelea na Awards Season

Hahah sasa iyo ally kiba na juma nature ilo songi litaitwaje "zlipendwa" au wataliita "mtukumbuke na ss"
 
Tatizo la mziki wa tz ukipitwa na wakati huwezi rudi tena kwenye peak balaa lake ni kama kujambiwa na fisi!! kama mnabisha kamuulizeni Mr Bad ni swala la kucheza na wakati kama hukuexploit in terms of monetary compensation ndo basi.
 
Ally Kiba ajishushe tu akubali kuwa yeye si lolote. Anafaidika na bifu la kijinga analolitegemea.
Afanye collabo na diamond ajenge jina...
 
Okey wadau za asubuhii...

Kwa wale wote wanaotetemeka juu ya dangote kutoa kitu kipya calm down all of you, mtapasuka mwisho wa siku hahahaha, msijali hatoi nyimbo yake mpya kipindi hiki japokuwa kwenye calendar yetu mwezi wa tisa mpaka wa kumi tutachagua mzigo mmojawapo tutoe...

Lakini kuna projects ambazo chibu dangote ameshirikishwa za ndani na nje jumla (3) zote zitatoka ndani ya wiki hizi mbili, huki tukiwa tunaendelea na awards season ambapo diamond platnumz amepata nominations 5 so far ikiwemo
3-mtvmama (south africa, huku diamond, davido, na wizkid wakiwa wanaongoza kwa nominations nyingi zaidi),
1-NEA(itayofanyika marekani)
1- African achievers (itayofanyika South Africa)
akianza rasmi kukinukisha Nigeria tar 3 jully show ya road to mama, na tar 18 jully siku ya tuzo za mtv ambapo watatumbuiza kwa pamoja na Neyo pale Natal, South Africa...

Projects zinazotarajiwa kutoka ndani ya wiki hizi mbili ni;
⏩ Donald indenial ft. Diamond platnumz (audio na video) ambapo vyote vimefanyika South Afrika
⏩ K cee ft. Diamond platnumz love boat (video ambapo audio ilishatoka tayari)
⏩ Nay wa mitego ft. Diamond platnumz mapenzi au pesa (video- imefanywa kwa pamoja hanscana & khalfan, ambapo picha yake ndio amepost jana diamond kwenye istagram page yake)

Kwa wale wajanja wote


BEHIND THE SCENES

Huyu kijana anakikosha sana mimi mwehh????
 
Haya sasa team njaa kama kawaida, Diamond na team yake ipo njiani sasahivi kuelekea Nigeria kwenye "nana media tour" ambapo atakaa huko kwa takriban wiki moja hadi mbili hivii

😀😀😀 If you are hater please gademu kufwa for our president au mkimbie JF, zile mnzoita mbwembwe, utandale, kujidai, ushamba, kuanzia kesho itakuwa mara buku yake kamaa nawaona vilee hahahaha
 

Attachments

  • 1435505065647.jpg
    1435505065647.jpg
    25.6 KB · Views: 184
  • 1435505080346.jpg
    1435505080346.jpg
    28.2 KB · Views: 180
Mbona hata kiba anatoa ngoma kali sana next week aliyomshirikisha juma nature


hahahahahahaha... mbavu zangu
nimeshawishiwa na moyo wangu kukutamkia " l love you"
teh teh
 
nina kila sababu ya ya kujivunia diamond ndani ya nchi yangu..

endelea zaid ya hapo aise.. tupo nyuma yako mashabiki wako..
 
Back
Top Bottom