Diamond: Project 3 kutoka ndani ya hizi wiki mbili huku anaendelea na Awards Season

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Okey wadau za asubuhii...

Kwa wale wote wanaotetemeka juu ya Dangote kutoa kitu kipya calm down all of you, mtapasuka mwisho wa siku hahahaha, msijali hatoi nyimbo yake mpya kipindi hiki japokuwa kwenye calendar yetu mwezi wa tisa mpaka wa kumi tutachagua mzigo mmojawapo tutoe...

Lakini kuna projects ambazo Chibu Dangote ameshirikishwa za ndani na nje jumla (3) zote zitatoka ndani ya wiki hizi mbili, huki tukiwa tunaendelea na awards season ambapo Diamond Platnumz amepata nominations 5 so far ikiwemo
3 - MTV MAMA (South Africa, huku Diamond, Davido, na Wizkid wakiwa wanaongoza kwa nominations nyingi zaidi), 1-NEA (Itayofanyika Marekani), 1 - African Achievers (itayofanyika South Africa) akianza rasmi kukinukisha Nigeria tar 3 July show ya Road to Mama, na tar 18 July siku ya tuzo za MTV ambapo watatumbuiza kwa pamoja na Neyo pale Natal, South Africa...

Projects zinazotarajiwa kutoka ndani ya wiki hizi mbili ni;

⏩ Donald indenial ft. Diamond platnumz (audio na video) ambapo vyote vimefanyika South Afrika
⏩ K cee ft. Diamond platnumz love boat (video ambapo audio ilishatoka tayari)
⏩ Nay wa Mitego ft. Diamond Platnumz: Mapenzi au Pesa (Video imefanywa kwa pamoja Hanscana & Khalfan, ambapo picha yake ndio amepost jana Diamond kwenye Instagram page yake)

Kwa wale wajanja wote
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆

- Link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi
Vote vote vote!

BEHIND THE SCENES
 
Attachments

  • 1435469950591.jpg
    1435469950591.jpg
    25.8 KB · Views: 983
  • 1435470098614.jpg
    1435470098614.jpg
    13.3 KB · Views: 945
  • 1435470116694.jpg
    1435470116694.jpg
    21.2 KB · Views: 948
Mbona hata kiba anatoa ngoma kali sana next week aliyomshirikisha juma nature
 
Kila la heri Diamond, mwanamuziki wa kimataifa Kutoka Tanzania.
 
Kaka angu ally kiba kai edit video ya cheketua weee mpaka kachoka sasa kaamua aitoe tu hvyo hvyo... na kwa pcha zle za behind the scene inaoneka iko low qualty sana ila ngoja tuone..
Ila nnachota kumaanisha akubal tu umoja apate maskills kutoka tandale ya jins ya kutengeneza videos
 
Ha ha ha ha angeitoa siku ya sabato....jumamosi ushauri tu lakini
 
That nice! This is true defination of music battle! Kama tunataka ushindani wa music na si maneno tusihofu watu kutoa nyimbo au video...kwenye vita kila silaha inatumika hakuna kuogopa na kupangiana aina ya silaha ili mradi anaye itumie aridhike nayo kuwa itamfanikisha!

Kwa hiyo kama kweli mtu ana hitaji mapambano ya kimuziki na si maneno basi awe tayari kwa mapambano yani kwa video nzuri na audio nzuri hakuna kulialia...anaye shindwa anajitoa tuu kwenye mapambano na si dhambi kukubali kushindwa lakini ni dhambi kusema unaweza music battle halafu unashindwa kufanya tunacho hitaji kuona!

Mimi nahitaji na wengi wanatamani kuona mtu anaye weza kwenda na Diamond jino kwa jino si kwa maneno bali vitendo!

Kuhusu wimbo wa Ney na Diamond toka mwanzo nilisema ulikuwa chini ya kiwango kabisa kuanzia sauti,beat na mixing pengine unaweza saidiwa na video lakini wimbo haukurecodiwa vizuri!
 
diamond anaombwa kushirikishwa na mtu kama Kcee..

anaombwa kushirikishwa na mtu kama brackets.. yaani anasimama na tiwa savage kwenye same song.

huyu dogo yupo mbali sana kusema kweli hakuna mwanamziki wa tanzania aliyewah kufika levo zake..

tukatae tukubali.. number one remix ndio best song of all time kutoka kwa mtanzania.. toka tumepata uhuru miaka 50 iliyopita hakuna nyimbo iliyotingisha kama ile..

iwe harusini, clubs, bars, vigodoro, bushparty etc ikipigwa ngololo watu wanasisimka..

hata nyumbani kina kiba.. ikipigwa ngololo watoto na kina mama wanatingisha kichwa wanajua hii kweki kazi ya sanaa.

haya team tuzo sita jibuni mapigo nanywi muombe kushirikishwa na hata jirani juliana kanyomozi
 
Yeah hapo kwenye mapenzi au pesa haikuwa kiivo, sema video yake inaonekana ni ya kibabe sana....

Za muhimu zaidi ni hizo mbili nyingine sababu kikubwa anachofanya jamaa ni kuhakikisha anatumia kila chance kupata mashabiki wapya, kwa wanaomfahamu wazidi kumuelewa, na kupanua CV ya aliofanyanao kazi ndio maana kila siku anazidi kupanda chart
 
diamond anaombwa kushirikishwa na mtu kama Kcee..

anaombwa kushirikishwa na mtu kama brackets.. yaani anasimama na tiwa savage kwenye same song.

huyu dogo yupo mbali sana kusema kweli hakuna mwanamziki wa tanzania aliyewah kufika levo zake..

tukatae tukubali.. number one remix ndio best song of all time kutoka kwa mtanzania.. toka tumepata uhuru miaka 50 iliyopita hakuna nyimbo iliyotingisha kama ile..

iwe harusini, clubs, bars, vigodoro, bushparty etc ikipigwa ngololo watu wanasisimka..

hata nyumbani kina kiba.. ikipigwa ngololo watoto na kina mama wanatingisha kichwa wanajua hii kweki kazi ya sanaa.

haya team tuzo sita jibuni mapigo nanywi muombe kushirikishwa na hata jirani juliana kanyomozi

Humu timu kariakoo huwezi waona humu kelele zote zilikua yale mabati 6 aliyopata.lkn ukizungumzia swala la vidio ya chekecheo kimya na vidio zao za low quality.
 
diamond anaombwa kushirikishwa na mtu kama Kcee..

anaombwa kushirikishwa na mtu kama brackets.. yaani anasimama na tiwa savage kwenye same song.

huyu dogo yupo mbali sana kusema kweli hakuna mwanamziki wa tanzania aliyewah kufika levo zake..

tukatae tukubali.. number one remix ndio best song of all time kutoka kwa mtanzania.. toka tumepata uhuru miaka 50 iliyopita hakuna nyimbo iliyotingisha kama ile..

iwe harusini, clubs, bars, vigodoro, bushparty etc ikipigwa ngololo watu wanasisimka..

hata nyumbani kina kiba.. ikipigwa ngololo watoto na kina mama wanatingisha kichwa wanajua hii kweki kazi ya sanaa.

haya team tuzo sita jibuni mapigo nanywi muombe kushirikishwa na hata jirani juliana kanyomozi

Chibu dangote mzee wa kazi hakunaga longolongo kabisa... Afu kwa upande wa bidada juliana kama ni collable najuwa angependa saana kupiga na chibu Mambo mengi tu aliyonayo mr. icon coz aliadmit ndio mwanamuziki anaemkubaki kinoma kwa EA ⬇

https://m.youtube.com/watch?v=Fv3pSBFAN0s
 
Back
Top Bottom