Diamond punguza ku show off yako

Kumbuka mashabiki zake ndo huwa wanapenda hzo show off zake,Yeye mwenyewe kashagundua hilo ndo mana hata akitaka kutoa ngoma lazima azungumzie mahusiano yake au kitu chochote kuhusu familia yake ili wajazane You Tube,Mziki wa Diamond huwa una endana na hiz show off.
 
Mwambieni Jiwe, mambo ya kutoa zawadi tausi wetu, si atuimand.
 
Wivu RUMBA
 
Sasa hivi anaomba mashabiki wamchagulie jina la mtoto
 
"Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa" MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE.. *IN BANZA STONE'S VOICE*
 
Umaskini kitu kibaya sana.


Hivi nini husababisha maskini kuwachukia wenye pesa?
 
Limbukeni huyo mwagana nae..
 
Ndio wakati wake mkuu mwache ale bata hata MR NICE naye alipita huko.
 
Ndio mambo hayo, yaani nisinywe bia zangu kisa watu wengine wana matatizo! We unafikiri nani anaweza kutatua matatizo yote Duniani.
 
Diamond Ni nani unaweza weka history yake kidogo
 
Mnashindwa kujisikia vibaya viongozi wenu mnaowalipa mishahara wakitumia vibaya madaraka na kodi mnazolipa uje kujisikia vibaya kwa show off za Diamond anayekula kwa jasho lake. Kama sio wehu ni nini ?

Nendeni mkapambane na wakina Makonda huko.
 
Hehehee comments zinafurahisha. Subiri afanye mwingine hivyo atasimangwaa balaa maneno tele. Raha ya kuwa mtanzania hii
Wewe ndio wale wale.

Wivu utawaua nyie watu.

Unamvyomchukia utafikiri mlijitongozesha kwake akawatema
 
Siku hizi jf,comment ya kwanza ikiponda jambo basi comment zitakazofuata, kila mmoja ataponda pia! comment ya kwanza ikisupport basi zitakazofuata zitasupport pia!

Mleta mada labda ungemshauri tu Diamond kua azidishe misaada kwa jamii.
Huyo mtoa mada huwa anatoa hiyo misaada ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…