Wewe ndio wale wale.
Wivu utawaua nyie watu.
Unamvyomchukia utafikiri mlijitongozesha kwake akawatema
Povu ni nini ?Shosti povu lote hili lako shouger
Povu ni nini ?
Chuki ya ndan sasa umeileta JF.Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije lakini maisha yako kwa sasa yametawaliwa na starehe na anasa ni sawa hatukutazi lakini vitu vingine sio lazima huvifanye vionekane kwa jamii
wewe kila siku umekuwa ni mtu wakuhonga magari madem hutukukatazi lakini sio vizuri kila jambo lionekane kwa jamii hasa kupost mitandaoni unasababisha shabiki kukuchukia sio vizuri hali hii inawaumiz watu wengi
tayari media zimeshakususa nguvu unayopata zaidi ni ya mashabiki tu ogopa sana na isije ikatokea na mashabiki naowakususe bro badilika kwa hili
Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije lakini maisha yako kwa sasa yametawaliwa na starehe na anasa ni sawa hatukutazi lakini vitu vingine sio lazima huvifanye vionekane kwa jamii
wewe kila siku umekuwa ni mtu wakuhonga magari madem hutukukatazi lakini sio vizuri kila jambo lionekane kwa jamii hasa kupost mitandaoni unasababisha shabiki kukuchukia sio vizuri hali hii inawaumiz watu wengi
tayari media zimeshakususa nguvu unayopata zaidi ni ya mashabiki tu ogopa sana na isije ikatokea na mashabiki naowakususe bro badilika kwa hili
labda watakua wanataka kuhongwa wao mashabikiEbu weka wazi mkuu.kipi hasa kina waumiza mashabiki diamond anapohonga gari?