Diamond punguza ku show off yako

Diamond punguza ku show off yako

Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije lakini maisha yako kwa sasa yametawaliwa na starehe na anasa ni sawa hatukutazi lakini vitu vingine sio lazima huvifanye vionekane kwa jamii
wewe kila siku umekuwa ni mtu wakuhonga magari madem hutukukatazi lakini sio vizuri kila jambo lionekane kwa jamii hasa kupost mitandaoni unasababisha shabiki kukuchukia sio vizuri hali hii inawaumiz watu wengi
tayari media zimeshakususa nguvu unayopata zaidi ni ya mashabiki tu ogopa sana na isije ikatokea na mashabiki naowakususe bro badilika kwa hili
Chuki ya ndan sasa umeileta JF.
Ma celebrity wanaish ki celebrity..
 
muziki wake hafanyi uchochoroni lakini
 
Mfuasi wa clouds. Au Sam Misago. Ndio wenye wivu Sana kwa rais wa WCB. Mkifukuzwa huko CMG na IPP mtamtafuta WMG Ilikuomba kazi
 
Kwan pesa kaiba? Si mnampa wenyewe mkinogewa na TETEMA,AINAMAINAMA NK
 
Unataka kumpangia matumizi
We tafuta zako tu

Ova
 
Mondi Anajua kuitafuta pesa. Acha aitumie anavyotaka. Mtoa post acha kufuatilia maisha ya watu. Maisha ni kutafuta na si kutafutana.

#ni wivu tu# in gwaji boi voice
 
Back
Top Bottom