mwanaharati bakari
Member
- Apr 6, 2015
- 91
- 24
idadi ya subscribersTutawasiliana na Youtube tujue wametumia Vigezo gani kutoa tuzo hiyo kwa muhusika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
idadi ya subscribersTutawasiliana na Youtube tujue wametumia Vigezo gani kutoa tuzo hiyo kwa muhusika.
haha hana lolote huyo kelele nyingi hamna kitu..Millard Ayo na wengine ni wakali balaa ila wanakaa kimya, wanapiga kazi, na ma-pesa kibao kimya kimyaThe Kings of all social media hajashinda huko?
Au huyu nae kama yule King mwingine? Au hawa ndio ma king wa vichochoroni?haha hana lolote huyo kelele nyingi hamna kitu..Millard Ayo na wengine ni wakali balaa ila wanakaa kimya, wanapiga kazi, na ma-pesa kibao kimya kimya
Kuna watu unawatafuta maneno mm simoAu huyu nae kama yule King mwingine? Au hawa ndio ma king wa vichochoroni?
Huyu DIAMOND si mtu mzuri,kila lililozuri linaanzia kwake ndio yanapoenda kwa wengine ambao wao ili wayapate sharti waandamane huyu yeye haina kuandamana wala kumtukana mtu yanamjia tu,hongera DIAMOND muda si mrefu watu wataandamana na wenyewe wawe nembo ya taifa.
Hakuna Mtanzania aliyelalamika kuonewa?
Kule insta Ana followers 3m nadhani Ndio mwenye washabiki wengi kuzidi wote, yule bush man anao nusu ya hao tu, video zao hawa WCB ndo zinatazamwa sana YouTube pia, kweli tunaweza kubishana kwa maneno ila namba hazidanganyiHuyu DIAMOND si mtu mzuri,kila lililozuri linaanzia kwake ndio yanapoenda kwa wengine ambao wao ili wayapate sharti waandamane huyu yeye haina kuandamana wala kumtukana mtu yanamjia tu,hongera DIAMOND muda si mrefu watu wataandamana na wenyewe wawe nembo ya taifa.
haaaaaa sasa mmezidi basi mkaichukuesisi wakulilia tuzo
team kuonewa tunaonewa sana hata ile nyumba madale tulijenga sisi akapewa mwengine
Amejitoa amesema zawadi ni kiduchu sana.The Kings of all social media hajashinda huko?
Vipi,unataka uhamasishe timu yako wakupe wewe ......??Zawadi ni nini? Tuzo tu au
ha haaa haaaa naona unajitahidi kuuridhisha moyo wakomshindi anapewa Gb10 za kuperuz
Hahahaha team kiba ya kingese sanaHapana msanii wetu kashinda wamemuonea twendeni tukawatukane hao waandaaji
twendeni wasilete masikhara mpaka jana tulikua tunaongoza
30,000 U.S Dollar category ya creatorZawadi ni nini? Tuzo tu au
Hapana msanii wetu kashinda wamemuonea twendeni tukawatukane hao waandaaji
twendeni wasilete masikhara mpaka jana tulikua tunaongoza