Diamond, sarkodie,millard ayo washinda tuzo za youtubeSSA

haha hana lolote huyo kelele nyingi hamna kitu..Millard Ayo na wengine ni wakali balaa ila wanakaa kimya, wanapiga kazi, na ma-pesa kibao kimya kimya
Au huyu nae kama yule King mwingine? Au hawa ndio ma king wa vichochoroni?
 

Jamaa anajituma Na hana masihara kwenye kazi yake so lazima atusue
 
Kule insta Ana followers 3m nadhani Ndio mwenye washabiki wengi kuzidi wote, yule bush man anao nusu ya hao tu, video zao hawa WCB ndo zinatazamwa sana YouTube pia, kweli tunaweza kubishana kwa maneno ila namba hazidanganyi
 
Hapana msanii wetu kashinda wamemuonea twendeni tukawatukane hao waandaaji
twendeni wasilete masikhara mpaka jana tulikua tunaongoza
Hahahaha team kiba ya kingese sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…