Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye red; umeviona au umeambiwa???diamond ana nyumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
Hongera zake ila bado kwangu naona ni kawaida sana, akijenga mjengo ndo ntaona kafanya la maana.
Saaafi Dogo, from Opa to PRado and 2 houses.. Dogo is full controlled,ana nidhamu sana ataishi vizuri
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Saaafi Dogo, from Opa to PRado and 2 houses.. Dogo is full controlled,ana nidhamu sana ataishi vizuri
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Diamond ana myumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
Ili iweje!!??tunaomba picha ya nyumba zake....